Ukimpa Binti Ujauzito ni Lazima Umuoe?

  1. kwanza Mungu hapendi wazinzi
  2. Inaonyesha jinsi gani unafanya ngono isiyosalama na hadi unasababisha mimba
  3. Huwezi kulea Mimba, mimba hulelewa na wenye ndoa au wanaoishi pamoja kwa upendo, usidhani kutoa pesa ya matumizi ndio kelea mimba... it is beyond that border kijana
  4. Kama hujao ni vema ukamwoa ili pamoja mlee mimba. kama umeoa acha tabia mbaya na kafanye TOBA
 
Mnapokua katika mahusiano ni vizuri sana kuweka misingi ya mahusiano.... Hasa mahusiano ya ki utu uzima. Kupata mimba ili ndio utimize haja fulani kwa kweli imepitwa na wakati...
 
Kuna madada wengi huwa wanajiimanisha kuwa,akishapewa UJAUZITO ndo tiketi ya moja kwa moja ndani Shela?Je ni lazima au unaweza lea mimba mpaka mtoto,bt anaendelea kuwa mtu wako?.

Mh... watu wengine bwana. Vipi dada yako akipewa mimba halafu asiolewe? Au vipi wewe ukiambiwa umuoe dada ambaye ameshazaa watoto watano? Uko tayari? Usiwe na tamaa ya kuwapa mimba dada za watu halafu unawaacha... kuwa tayari na wewe kuoa mwanamke ambaye amezaa watoto na wanaume watano tofauti....inatia hasira sana....usipende kufanya vitu ambavyo haupendi kufanyiwa....
 
siyo lazima, watu wanaoana kufurahisha umati tu lakini ndani ya nyumba vurumai kwa kwenda mbele.
 
siyo lazima, watu wanaoana kufurahisha umati tu lakini ndani ya nyumba vurumai kwa kwenda mbele.

Pamoja nahayo vipi mt umtongoze dem usiyempenda?unapokua na msichana inamaana unampenda ndio maana ukamtongoza na ukaamua kumhudumia inapotokea swala lamimba huwez sema et nibahati mbaya sikupanga kwahiyo nitalea mimba.huo niujinga na uhayawani.ukipanda mahndi unategemea nini kama sio kuota?
 
Kuna madada wengi huwa wanajiimanisha kuwa,akishapewa UJAUZITO ndo tiketi ya moja kwa moja ndani Shela?Je ni lazima au unaweza lea mimba mpaka mtoto,bt anaendelea kuwa mtu wako?.

Hii mada hainihusu kwani kutokana na uzoefu wa kuishi na mama wa kambo niliapa tangu nikiwa mtoto mdogo kuwa sitokaa nizae nje ya ndoa kwa sababu sitaki mtoto wangu apitie njia niliyopitia ya malezi. Mwanamke pekee mwenye priviledge ya kuzaa na kulea watoto wangu ni mke wangu halali wa ndoa na kazi ya kulea lazima tuifanye wote kwa kushirikiana.
 
kwaninii uzinii kablaa ya ndoaaa...uzizi wenu umeletaa matundaaa.owaaa.tenaa ukutee mi ndo kaka au baba wa huyo bintii,utaowaa kwa nguvuu
 
  1. kwanza Mungu hapendi wazinzi
  2. Inaonyesha jinsi gani unafanya ngono isiyosalama na hadi unasababisha mimba
  3. Huwezi kulea Mimba, mimba hulelewa na wenye ndoa au wanaoishi pamoja kwa upendo, usidhani kutoa pesa ya matumizi ndio kelea mimba... it is beyond that border kijana
  4. Kama hujao ni vema ukamwoa ili pamoja mlee mimba. kama umeoa acha tabia mbaya na kafanye TOBA

Mmmh...Hi ni kwaresima
 
Kuna madada wengi huwa wanajiimanisha kuwa,akishapewa UJAUZITO ndo tiketi ya moja kwa moja ndani Shela?Je ni lazima au unaweza lea mimba mpaka mtoto,bt anaendelea kuwa mtu wako?.

ha ha ha ha ha mawazo ya kizamani hayo aisee.....
 
Back
Top Bottom