Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

Nichukue fursa hii kuwaomba wenye hospitali binafsi wasitumie tatizo hili kunufaika kwa kupandisha gharama za matibabu badala yake wawakarim wagonjwa wetu.
 
Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.

Wewe taahira sana. Unachoshangilia nini sasa!!!!!!
 
Nilishasema na naendelea kusema Watanzania/Tanganyika tusipoelekeza hasira zetu pahala sahihi tutaendelea kuumizwa, hii ndio nafasi ya ku vent hasira zetu na concern zote tulizonazo. Jamani time is now, Dr Ulimboka katuonyesha jinsi ya kudai haki na maslahi ya madaktari na Watanzania kwa ujumla.....lets follow suit
Mimi naamini ukombozi wa Mtanzania/Tanganyika utapatikana kwa roho za ujasiri watu kama Dr Ulimboka Kamanda Godbless Lema na wengine wote waliopoteza maisha au wanaoweka maisha yao hatarini ili tupate kushuhudia na kuikomboa nchi yetu

Wananchi tumezidi kuwa kimya san..wengi tunaongelea hili suala majumbani mwetu na wengine nyuma ya kiibodi tu. Tunaoumia ni sisi cha ajabu sisi hao hao tuko kimya...Misri ilianza na mtu mmoja na sisi tuanze na DR. ULIMBOKA.
 
Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.

Kweli ww hamnazo'eti kuanza upya c ujinga'..unajua elimu ya ma drs ni miaka 5 ww?unapoanza upya hao wagonjwa watatibiwa na nani?.do u think drs wakifukuzwa wanashida?kwa taarifa yako wanauwezo hata wa kuwa wafanyabiashara wazuri sana,...think b4 u write!
 
serikali iliyoingia madarakan kwa rushwa huwa hawajali.wabunge ml 10 kwa mwezi dr. Kumpa hata ml 2 ni dhambi? Sasa kuwafukuza hawa madr. Then ulete wa nje kwa gharama kubwa zaidi ya hawa waliopo ni akili au matope? Kumbe hata mh waziri mkuu nae yuko hivyo? Alichokuwa analia bungen kipindi cha albino kumbe ni sanaa tupu.duh nimeamin si kila aliae kilio kinatoka moyon.corrupted govenment can not run the country.
 
Liwalo na liwe mzee wa mee ajiuzulu
kauzu huyo mzee,zaidi ya dagaa,wakati mwingine sura ni roho aiseee....tuacheni utani,zee liko kama mamba sura ngumuu...roho mbaya ka nini sijui,malipo hapahapa iko siku itakua zamu yako ku feel maumivu
 
itakuwa kama srya mambo yalianza hivi hivi. Mwisho wa serikali hii dhaifu inayoshindwa kuchukua uamuzi mgum wa kusolve matatizo ya wananchi umezidi kusogea.
 
Nadhani ni wakati wa taasisi ya human right na chama cha Chadema na wananchi kwa ujumla sasa kusimama na kuwatetea kwa namna yoyote ile
 
Kutapatapa huku ndipo kutazidi kukoroga mambo. Hiyo meza moja imeshindikana kivipiii???? Hatujaambiwa hilo?
 
Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.

kwani hao wanajeshi mnaojivunia si ndo' waliochemka last time? Endeeleeni kujazana ujinga!
 
Na kesho Bungeni utasikia wabunge wanasifu na kushukuru kwa hotuba nzuri ya Ofisi ya "Liwalo Na Liwe".

Kama Noma na iwe Noma, nikiugua leo nakuzidiwa na kufariki kwa kukosa matibabu sitajilaum nitajiona shujaa katika mapinduzi haya Liwalo Na Liwe bwana.

Bi. Kiroboto we endeleza kukataa miongozo sisi tutafunga Airpot sijui mtakimbia India kwa Gari au Lah.

Ukiiona hii Bi Kiroboto kumbuka ile ulosema "Asiekuepo Na Lake Halipo", Wewe kichwani mwangu haupo, tukikutana Tahrir na lako ujue haliko.

Getwell Soon Ulimboka
 
Kwa jinsi ninavyoona mm hii nchi imeshauzwa sasa!!mm naona poa tu ikiwezekana kila idara igome potelea mbali kila mtu ajijue atakapokwenda aaaaah nchi gani hii ya ajabu,viongozi wamekuwa kama wanatoka mataifa mengine wamekuja kufanya kazi humu kwa muda tu wachume pesa waondoke!!watu wote ni sawa lakini kuna watu wanaonekana ndio wenye haki na nchi hii na wengine tumezaliwa kwa bahati mbaya tu humu!!aah acha tutoweke kwenye ramani ya dunia tu hakuna maana humu!!!MADAKTARI GOMENI TUU!!huyo wa Lindi,Kigoma na kwingineko atajijua mwenyewe.
 
Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.
hapo penye red ndo panatutambulisha wewe ni nani!!!! hv huwa najiuliza watu wenye tope kichwani kama wewe wanaumuhimu gani juu ya nchi, natamani ungegngwa na gari ufilie mbali......
 
Mungu okoa Taifa hili.

Kazi kweli kweli. sidhani aliyetoa uamuzi wa kuwafukuza anafikiri kama ma doctor wataendelea na msimamo. usishangae kuona serkali iki-haha kutafuta njia za kutibu wagonjwa. Ndio mwanzo wa Movie picha ndo bado.
Mwenye akii atumie akili yake 2015
 
kwa wale wenye bima ya afya emh tufanyeni mpango wa kurudishiwa hela zetu za mwezi huu kwa maana ma-dr wamegoma na wao wanalijua hilo,pia wasithubutu kukata hela hadi hapo ma-dr watakaporudi kazini!
 
Back
Top Bottom