Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Mimi nina Masters mbili za sheria, lakini hata nikiziweka jamvini zitakusaidia nini, mimi siyo mwanasiasa ila kuweka ya Mkulu wa CDM ni muhimu kwani ni kiongozi wa watanzania wengi tu.
Angalau umepata pa kupumulia mtu wangu..
 
Umetumwa au unajituma?? je ya kwako mbona hukuweka tuwajadili pamoja??
 
Tujiulize Prof. Maghembe, Prof Mwakyusa na Prof Msolla na Uprofesa wao wanajenga hoja kiasi gani kutetea wananchi bungeni? Wanawatetea kiasi gani wana jimbo lake halafu fananisha mchango wao na mchango wa Freeman Mbowe ndani ya bunge na kwa wa Tanzania

SalutationHonourableMember picture
1260.jpg
First Name: Freeman
Middle Name:Aikaeli
Last Name:Mbowe
Constituent:Hai
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth

[TH="colspan: 3, align: left"][/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School NCame/Location
Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
Company Name
Bank of TanzaniaBank Officer

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
 
Kamanda haitaji elimu kupambana na adui ni mauzoefu tu wakuu

hapo utakua unakosea coz elimu ndio kila kitu ktk suala la maendeleo.na kumbuka huyu jamaa ni mpigania maendeleo.
 
JAMANI mbona kuaibishana namna hii..ila kusema kweli i never did question is education background rather his integrity...My dad(6 degrees to his shoulders, two masters and one PHD) was not into Politics but when he first saw this guy he told me I will vote for him he should be a president!!!!

nna wasiwasi dady yko ni elimu vyeti
 
Kaz ya siasa sio taaluma ni nidhamu,uwezo wa kuwakilsha wanyonge walio wengi,kusimamia rasilimali kwa manufaa ya wote na kujenga taifa ambalo hakuna raia atakayehisi yuko ugenini. Hapa elimu si kipaumbele kwani mwanasiasa si mtendaji. So mliodanganywa kuwa mkiweka cu ya aikael ndo mmearibu,ha ha!wananchi hawajali iwe ni kwel au si kwel,cha msingi majukum yake ya kisiasa anayamudu...
 
kweli mnamgwaya sana huyu jamaa kwani ndani yaweek moja mmeirudia CV yake zaidi ya mara 3. naanza kuona jinsi anavyo watoa mapovu

Kijana badilika hao wanaokulipa uwatetee hata wakiingia madarakani hawatakusaidia kitu kitu pekee kitakachokusaidia nikuacha kutumika na kusimamia ukweli BWANA AKUBARIKI SANA ILI UWEZE KUJITAMBUA
 
Kaz ya siasa sio taaluma ni nidhamu,uwezo wa kuwakilsha wanyonge walio wengi,kusimamia rasilimali kwa manufaa ya wote na kujenga taifa ambalo hakuna raia atakayehisi yuko ugenini. Hapa elimu si kipaumbele kwani mwanasiasa si mtendaji. So mliodanganywa kuwa mkiweka cu ya aikael ndo mmearibu,ha ha!wananchi hawajali iwe ni kwel au si kwel,cha msingi majukum yake ya kisiasa anayamudu...

So hata DJ wa Disco aje kuwa Rais wetu? Badiliken vijana kuweni na mtazamo chanya sio kila kitu mkitetee

KWELI MNAHITAJI MAOMBI ILI BWANA AWAFUNGUE MACHO NA KUWAONESHA NJIA
 
kama hii CV yake ni ya kweli hawajakosea basi hii nchi haiwezi kuongozwa na mtu aliyeishia secondary school with all due respect na hiyo secondary school alimaliza? maana hatujaona results
 
So hata DJ wa Disco aje kuwa Rais wetu? Badiliken vijana kuweni na mtazamo chanya sio kila kitu mkitetee

KWELI MNAHITAJI MAOMBI ILI BWANA AWAFUNGUE MACHO NA KUWAONESHA NJIA

Je mganga wa jadi wa chama cha wanamapnduz ilikuwaje,siasa inasomewa wap?elimu sio kigezo. Siasa ni kipaji mtu anazaliwa nacho!
 
Mimi nina Masters mbili za sheria, lakini hata nikiziweka jamvini zitakusaidia nini, mimi siyo mwanasiasa ila kuweka ya Mkulu wa CDM ni muhimu kwani ni kiongozi wa watanzania wengi tu.


Unadhani wenye Masters zao za halali wanasema humu ? Pia nadhani HIGH SCHOOL siyo kukosa elimu ! siku hizi tuna shule za kata kibao na vyuo vikuu zaidi ya 40. Lakini ukiangalia quality wise, kijana wa Middle school wakati ule anafanana na graduate wa sas kwa mambo mengi tu na hata kumshinda katika ubunifu na utendaji kazi.
 
Jk elimu yake ni degree moja.sasa anaitwa doctor kazi yake yeye ni kuchagua nipeni udoctor
 
Nilipoingia jamvini niliona zimetundikwa Cv za watu mbalimbali hususan viongozi. Nikawa interested na CV za viongozi maarufu na ndipo nilipopatwa na bumbuazi kuiona hii Cv nimeshangaa sana. Mageuzi ya kweli lazima yaanzie ndani ya Chama. Dunia ya sasa kiongozi mkuu wa chama lazima awe na elimu ya kutosha na aliyeelimika kwani viongozi wenzake duniani wana uelewa mpana kwa misingi ya elimu zao. Huu ni ukweli usiopingika Uchaguzi ujao tusifanye makosa kuwakataa wasomi.
JE unaijua elim ya rais wa afrika kusini mheshimiwa jackobo zuma? mbona nchi inaenda tu vizuri na wanatuzidi sisi ambao tuna dr.?
 
CV YA UKWELI HII HAPA

Education and Work
Grad
School: Makerere University '78
College: University of Miami '80

College: St. John's University of Tanzania
High
School: Makongo Secondary School
'75
Company: Wananchi wa Tanzania
(Jimbo la Hai)

Position: Kiongozi wa Kambi rasmi ya
upinzani bungeni katika bunge la Tanzania.
Time
Period: November 2010 to present
Mkuu huoni haya kudanganya kiasi hiki..,hivi unadhani huyu jamaa aliishi tofauti na mazingira ya watu wa kawaida hata uwadanganye watu kuwa alipitia hizo shule na vyuo unavyovitaja kwa taarifa yako hayo majina hayakuwa hivyo miaka hiyo.,makongo ni jina la juzi tu na hapo kabla ilikuwa ikiitwa lugalo..,kijana Huoni Hayaaa...
 
Duh kwa CV iyo ndo maana kavuliwa nafasi ya urais, mwambieni aende shule kwanza na aache kubwabwaja maneno yasiyo na tija
 
Funguotatu ww nadhani utakuwa umeishia darasa la 2,mwenye master hawezi akawa fikra dhaifu kama ya kwako kaanze tena dar la pili
 
Back
Top Bottom