Ni sifa zipi zinatakiwa ili mtu akasome na awe rubani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sifa zipi zinatakiwa ili mtu akasome na awe rubani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by backer, Mar 21, 2012.

 1. b

  backer Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf hope wote mko wazima, nina swali ambalo ninahitaji msaada wenu wana jf wenzangu,
  ni sifa zipi mtu anatakiwa awe nazo ili awze kujiunga na chuo chochote cha urubani? manaake wengine wanasema physics, maths na geography, wengine wanasema maths, geography na language, lipi ni lipi hapo? wadau msaada
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  physics,math,geography age below 18!chuo soroti uganda au south africa!tatizo wabongo tunamaliza f6 tukiwa wazee
   
Loading...