Recent content by BabuMkubwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Police Clearance Form kwa Arusha tunalipia 26,000, Dar ni 10,000 hii imekaaje Wadau?

    Hiyo ya mkononi unapewa ERV au ni yake binafsi huyo afisa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nasubiri hadi saa 10.30 kabla sija surrender.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

    Bado hajatiwa hatiani,mpaka kujitetea ndipo Mahakana iratoa uamuzi kama ana hatia au hana.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

    Bado hajatiwa hatiani,mpaka amaluze kujitetea ndipo Mahakana iratoa uamuzi kama ana hatua au hana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Usimwamini tena huyo aliyekuthibitishia
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB nimeona tangu 16.22 Hrs
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dunia inashangaa ukatili wa serikali ya Tanzania

    Thubutu warushe wafungiwe,nani anataka kufa njaa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

    Acha kuuliza maswali mepesi kama hayo,,peleka pesa ya matumizi usijipigie tuu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hivi neno makebo ni lugha gani?

    Makebo ni tafsida ya makalio makubwa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yanga wamwaga kifusi eneo lao ili Paredi la Simba lisipenye na kukatiza Jangwani

    Kazi ya ujenzi wa uwanja inaendelea acha uzushi rafiki
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je! Ni sawa rafiki au ndugu yako akuombe uzae na mke wake?

    Kwa tatizo kama hilo ni sahihi huyo mke wake azae na shemeji yake ndugu wa bwanake SIYO rafiki wa bwanake.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

    Kama ni kweli hongera zake
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nje ya muungano....!

    Serikali mbili kuungana halafu kuwepo na Serikali mbili ngumu kuelewa
Back
Top Bottom