JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,524
- 18,356
Kuwa na Rais dictator, sio ajabu, ila kuwa na Rais mjinga, tena anayeamini katika ujinga wake, ni balaa!Ni kama dunia ilikuwa haijui kinachoendelea Tanzania, now it has been taken by surprise by what has been aired by bbc on the horrific human rights abuse and the persecution of opposition members.
Kuna comments za raia huko duniani zinashangaa sana kusikia kinachoendelea Tanzania. Hawajawahi hata kuwaza kuwa Tanzania inaweza hata kukaribia tu kwenye huu ukandamizaji wa haki za binadamu na uminywaji wa demokrasia.
“Ukiona giza limezidi ujue kunakaribia kucha”.
Watu kama Ghadafi, Sadam, Shekh hasina,madulo, Fidel Castro, walikuwa ma dictator, lakini walijua nguvu ya magharibi, walijua kibri Yao, ina mwisho, na limit, pale US, UK, wanapoamua kukukalia kooni!
Sasa Sisi tuna Rais anayeamini, yupo salama(binafsi) kwa sababu kazungukwa na vijana wa suti Kali nyeusi, na jazz, siraha!
Bila kujua Hao wote ni kama Simba wa karatasi! Wajomba wakiamua ku deal na yeye!
Bila kujua Hao wanaomlinda, wengine ni CIA, wakipewa amri tu, kaisha,
Rais anayeshauliwa na Makonda, Babutale, mwanafa!
What a shame