Recent content by Baba rai

  1. Baba rai

    Jinsi ya kuanzisha Club ya mpira wa miguu

    Habari Ndugu, Tuwasiliane kwa namba 0765903379
  2. Baba rai

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu ikitokea tena nijulishe nifike maana haya mambo kwetu pia yapo ila ndiyo hivyo wenyewe wamekwenda mbele za haki.
  3. Baba rai

    Magaidi wanachafua dini

    Inshaallah nashukuru kwa ufafanuzi uliotolewa imedhihirisha hayo ni ya kubuni na hayapo kwenye Dini yetu ya haki, Takbiiir
  4. Baba rai

    Hawa ndiyo viumbe aina nne hatari zaidi duniani

    Kwa hisani ya watu wa mitandaoni na si kauli yangu, sijui waliona nini mbwa hawa mpaka wakaandaa list hii!
  5. Baba rai

    Magaidi wanachafua dini

  6. Baba rai

    Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti

    Safari zangu ni ndefu na za mara kwa mara na pia ninapoishi kuna road ya vumbi ya ndefu. Nataka kununua chombo hiki kinisaidiewajuzi nahitaji ushauri.
  7. Baba rai

    Mwatuona hatuna akili enyi wapinzani!!

    Miaka mingi iliyopita nilivutiwa sana na vyama vya upinzani haswa kutokana na unyonyaji wa chama tawala na sera nzuri za kumkomboa mwananchi kutoka vyama vya upinzani. Lakini sasa mwatufanya chapati kutugeuza mtakavyo! Mara Lowassa fisadi papa mara ni mtakatifu!!! Mara mikataba ya madini...
  8. Baba rai

    Vodacom Tanga mnatuua

    Ikiendelea hivi nitawashitaki wanilipe na fidia maana imeni cost sana
  9. Baba rai

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Tanga kuna tatizo la mtandao wa Vodacom haipatikani tangu juzi na mimi ni mmoja wa wahanga wa tatizo hili la mtandao
  10. Baba rai

    Vodacom Tanga mnatuua

    Mkuu acha tu hapa nazima na kuwasha simu kama mpumbavu
  11. Baba rai

    Vodacom Tanga mnatuua

    Nimekuja Tanga kikazi juzi na pesa yote ya mahitaji na akiba kwa ujumla nimeweka katika M pesa, kufikia usiku kama saa nane mtandao ukakata na kuandika Emergency na hali ikaendelea hivyo hadi jana mchana hali iliyonipa wasi wasi na kutembelea vituo kadhaa vya Vodacom na jibu nililopewa ni kuwa...
  12. Baba rai

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuu Mtu mzito jini maiti yukoje?
  13. Baba rai

    Mwanangu Kim Jong Un

    Vita siku zote huwa na pande mbili na majibu sahihi huja mara baada ya vita kuisha.....najua Kim ataisumbua US ila mwisho wake atapigwa tu.....SHABIKIENI KIDUKU ILA ISIJE BAADAE MKAMLAUM MMAREKANI KUWA AMEKOSEA KULIANGAMIZA TAIFA HILO.
Back
Top Bottom