mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Hakuna wame edit.haya hazisemi,hvyo.Hivyo vifungu tajwa kwani kweli vipo?
Hakuna wame edit.haya hazisemi,hvyo.Hivyo vifungu tajwa kwani kweli vipo?
Wame editWaislamu mtusaidie mungu aliagiza hivi
HakunaUkweli uko wapi sasa,,
Hivi vifungu vipoo???
Acha kupotosha.labda wewe ndo mpumbavu.Wewe usikute ni mwislamu lakini hujui upumbavu ulioandikwa humo kwenye vitabu vyenu kwani hao magaidi huo unyama wanaofanya umeandikwa wapi si ni humo vitabuni hayo maamrisho yaliyowekwa na mtoa mada yapo kwenye quran ukatafute usome mimi siwezi gusa quran hata iweje
Haijaelekeza hivyo dini, na kumbuka hata baadhi ya watu wa karibu na mtumw hawakuwa waislam na hakuwapiga vita.Ukiua mtu mmoja "muislamu" na Ukiokoa mtu mmoja "muislamu".
The rest tekeleza kuran 9:29 na 47:4
Ambao hakuwapoliga vita walilipa zaka/kodi kama kurani 9:5 inavyoelekeza. Na dakika za mwisho nguvu kumuishia ndo alianza kuomba poo. Kwa wale wanaojua utaalamu wa kusoma kurani wananielewa.Haijaelekeza hivyo dini, na kumbuka hata baadhi ya watu wa karibu na mtumw hawakuwa waislam na hakuwapiga vita.
Acha kupotosha.labda wewe ndo mpumbavu.
Ni kweli vifungu hivi vya kurani vipo?
Ukweli gani.hakuna aya zinazosema hayo.Pole bwana mikanzu ukweli unauma,jiwe la gizani baya sana ukigongwa nalo utakuja tu kwenye mwanga
Ukweli gani.hakuna aya zinazosema hayo.
Na mambo ya vita yalikuwepo kipindi kile.muhammad alipokuja kuufufua uislam.wapo makafiri waliowaua waislam.ndipo muhammad akaamuliwa apambane nao.