Baba rai
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 228
- 292
Miaka mingi iliyopita nilivutiwa sana na vyama vya upinzani haswa kutokana na unyonyaji wa chama tawala na sera nzuri za kumkomboa mwananchi kutoka vyama vya upinzani.
Lakini sasa mwatufanya chapati kutugeuza mtakavyo!
Mara Lowassa fisadi papa mara ni mtakatifu!!!
Mara mikataba ya madini ipitiwe upya mara jitihada zinaanza mnageuka na kututisha!!!
Mara kodi ya magari kwa ajili ya barabara iwekwe kwenye mafuta.....mambo yanawekwa sawa mnaruka kimanga!!!!
Hivi mnasimamia nini haswa au kupingapinga?
Dira yetu haswa ni ipi au kupiga siasa kwenye misiba na matatizo ya wananchi kuyafanya mtaji wa kisiasa?
Roho inaniuma sana mnapopinga mambo yenye maslahi kwa taifa na ni wazi hamna uchungu na wananchi bali mnataka kutawala media tu kujijenga kisiasa.
Sisi tunaowaunga mkono ni kwa sababu ya kuboronga kwa chama tawala hivyo tuwafanya mbadala hivyo msifikiri tumechanjiwa damu na nyinyi na kufanya mpendavyo...