Magaidi wanachafua dini

Baba rai

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
228
500
13fa3b1d333ce7f5a192613c35960852.jpg
96f4467346554118d5711cff94eefedd.jpg
 
galindas

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
980
1,000
Dini inasema " ukimuua mtu mmoja ni sawa na kuangamiza the entire world na ukiokoa maisha ya mtu mmoja ni sawa na kuokoa maisha ya binaadam wote". Wengi wetu tunashindwa kutofautisha uhalifu unaotendwa na waarabu na watu wengine wanaojinasibisha na dini. Hao ni magaidi na wahalifu tu. Hakuna mahali dini ikaagiza ushenzi huo.
 
norbit

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
804
1,000
65:4
Na wale walio sita hedhi miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnayo shaka, basi muda wa eda yao ni miezi mitatu, pamoja na ambao hawapati hedhi. Na wenye mimba eda yao mpaka watakapo zaa. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu humfanyia mambo yake kuwa mepesi

4:3
Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha
If you have a spare time. Al-Qur'an al-Kareem - القرآن الكريم
Sina haja kuendelea, mod futa upuuzi huu
 
nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,033
2,000
hivi huo mstari wa kupewa mabikira 72 upo kweli maana nmeanza kusikia kiitambo sana
 
AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,009
2,000
very unfortunate, hiyo mistari ipo. FaizaFoxy anahitaji kuja kutoa ufafanuzi hapa kama bado wanaiamini au ni mistari ya kale ambayo hawatakiwi kuifuata.
 
white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,335
2,000
65:4
Na wale walio sita hedhi miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnayo shaka, basi muda wa eda yao ni miezi mitatu, pamoja na ambao hawapati hedhi. Na wenye mimba eda yao mpaka watakapo zaa. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu humfanyia mambo yake kuwa mepesi

4:3
Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha
If you have a spare time. Al-Qur'an al-Kareem - القرآن الكريم
Sina haja kuendelea, mod futa upuuzi huu
hiyo namba 7 vipi vijana wanamaliza watu kwa kutegemea kupata mabikira 72
 
norbit

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
804
1,000
hiyo namba 7 vipi vijana wanamaliza watu kwa kutegemea kupata mabikira 72

(التَّائِبُونَ الْعَابِدُونَ الْحَامِدُونَ السَّائِحُونَ الرَّاكِعُونَ السَّاجِدُونَ الْآمِرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَالنَّاهُونَ عَنِ الْمُنْكَرِ وَالْحَافِظُونَ لِحُدُودِ اللَّهِ ۗ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ)
[Surat At-Tawbah 111]

Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa
 
norbit

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
804
1,000
Mimi nawashauri tuondshe uvivu tusome japo kidogo, before hatuja post Kila kitu tunachopata kutoka whatsapp au unachoona kutoka Google image search.
 
Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,933
2,000
hakuna jambo baya kama mtu mzima kukurupuka na kuongea asicho kijua, ujinga sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom