Yaani mkuu ulivoipamba, hizo gari zote ulizozitaja zipo zenye hio mashine. Na hizo cresta zipo zenye 1jz. hio cresta ikikutana na Altezza 3sge analazwa chali kifo cha mende.Mkuu hiyo mashine ngumu usiifananishe na Verossa, Mark 2 grand wala Alteza japo pia zipo zenye engine hiyo na pia Ku share baadhi ya spare.
Kamata ngoma hiyo hutajutia waache wabadilishe mabodi tu.
Overall Cresta is the best. Ngumu sana....inavumilia shida balaa! Kama unahitaji gari ya kazi ya chini Cresta is the best.Yaani mkuu ulivoipamba, hizo gari zote ulizozitaja zipo zenye hio mashine. Na hizo cresta zipo zenye 1jz. hio cresta ikikutana na Altezza 3sge analazwa chali kifo cha mende.
Uzuri wa 1gfe kama ni mtu wa safari ndefu utaenjoy unywaji wake wa mafuta. ni mzuri sana
Asa mkuu Cresta gx100 na MarkII grande gx100, zinatofauti gani zaidi ya muonekano wa bodi?!Overall Cresta is the best. Ngumu sana....inavumilia shida balaa! Kama unahitaji gari ya kazi ya chini Cresta is the best.
Sielewi mantiki ya swali lako. Mimi nimemwambia mleta mada Cresta is the best. Labda wewe umwambie Mark II ni bora zaidi.Asa mkuu Cresta gx100 na MarkII grande gx100, zinatofauti gani zaidi ya muonekano wa bodi?!
Mkuu hiyo mashine ngumu usiifananishe na Verossa, Mark 2 grand wala Alteza japo pia zipo zenye engine hiyo na pia Ku share baadhi ya spare.
Kamata ngoma hiyo hutajutia waache wabadilishe mabodi tu.
Gx mia ni ndoa ya kikatoliki......ni lako hilo daima ukilinunua.
Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 1000 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpyaSafari zangu ni ndefu na za mara kwa mara na pia ninapoishi kuna road ya vumbi ya ndefu.
Nataka kununua chombo hiki kinisaidiewajuzi nahitaji ushauri.
Gari nzuri sana hizo Mimi ninayo tangu 2014 sijawahi kujutia chaguo ya hili gari ni imala sana kuanzia bodi na engine utafurahia zaidi safari ndefu Mimi nimeitembeza sana safari za geita mbeya kilomita 13800 nafika kwa muda wa masaa 15 tuu mafuta natumia lita 100 nimepiga hizo tripu tano za hivyo gari bado inaonekana mpya
Naafiki 100%Mark II Grande gani mkuu labda GX110. Lkn Mark II Grande GX100 na hiyo Cresta zinafanana karibu kila kitu ikiwemo hiyo roho ya paka. Ile GX110 ndiyo mayai sana. Uzuri wa GX100 series zote yaani Cresta, Mark II na Chaser ni ngumu na hazipitwi na wakati.
kavu inaubora gani ukitofautisha na vvti, hebu fafanua mzee dingi.CHUKUA GX 100 KAVU