Recent content by atupele81

  1. atupele81

    UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    Katiba ya Tanzania inaruhusu kila mtu kutoa maoni nadhani na hayo ni mawazo ya mchungaji binafsi kila mtu nae ananafasi ya kutoa maoni.
  2. atupele81

    'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

    Tunampa pole kwani angevaa jinsi yake na tshirt yangemkuta hayoooo.
  3. atupele81

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Duniani kuna mambo....
  4. atupele81

    Yamenikuta jamani!!!!!!

    Mshukuru Mungu kwa yote,pili waone madaktari watakupa ushauri,ili kumbuka uliapa kwamba si dhiki wala magonjwa vitakavyokutenganisha na mkeo........Mpende na mlinde mkeo huku ukimpa moyo wa faraja.
  5. atupele81

    Jeshi jeshi jeshi

    Jeshi na siasa ni pusi na panya ingawa wako pamoja.
  6. atupele81

    Je tatizo la kupata ajira limekuwa sugu kwako?

    Kuna vifo vya aina mbili vifoo vya kimwili na kifo cha kiroho, kifo cha kimwili ni pale roho inapotengana na mwili na kifo cha kiroho ni pale ww au mm ninapotenda dhambi natengana na mungu nakuwa nimekufa, Isays 59:2.
  7. atupele81

    walimu wanahitajika haraka

    Asante kwa yote maana ni mema tu.
  8. atupele81

    Picha yangu ya leo hii

    Picha hiyo inaonyesha jinsi watanzania wanavyochukua vyakula vyetu km sukari, mahindi nk na kuuza nchi za nje wakati huku kwetu vinakuwa vitu adimu.
  9. atupele81

    TEACHER'S JUNCTION OFFER!2012-2013 OFFER! Teachers Recruitment Agency inTanzania.

    Ndugu kama unayoanuani au simu namba ya mkurugenzi wa ajira elimu ya msingi naomba unirushie kwenye namba hii 0769469695,nitashukuru
  10. atupele81

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Jambo jema kutuwekea kumbukumbu ya enzi hizo...........
  11. atupele81

    Tenda: 500 Tons za makopo zinahitajika kwa mwezi!

    Makopo tu tani 500 au na mawe.
  12. atupele81

    Telegraph From Iddi Amin Dada kwa Nyerere Kisa cha Vita ya Kagera?

    Mwl alitufundisha uvumilivu na inapobidi kujilinda hata kama ni maskini , heko Watanzania wa kipindi kile kwa uzalendo.
  13. atupele81

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    mavazi sio ishara ya upenzi wa chama, itikadi ikikaa moyoni inajenga utii na ushabiki wa chama ndiyo imani ya mwalimu.
  14. atupele81

    Ajira za walimu grade 3a lini na wanaanza na kiwango gani cha mshahara?

    Ndugu zangu kuna walimu wengine ambao mwaka 2006 wlimaliza chuo cha grade3A ila kwakuwa walisomeshwa na mashirika ya dini kuwa wakitoka chuo warudi kufundisha shule za mashirika hayo kwa mkataba wa miaka 3 hadi 5, sasa wamemaliza mikataba hiyo wanataka kurudi katika ajira za serikali je...
Back
Top Bottom