Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
duh hata mie hii niliisikia tena nliion video yake AMIN akijisifu kwa kuituma kwa NYERERE ... ila ilikua miaka ya nyuma sana kabla ya vita...nafikiri miaka mitano hivi before the war
Kweli huyu jamaa alitudharau sana lakini nilichompendea ni hiki hapa!
Na hii hapa!
Hapana, Mwalimu hakuwa na visasi namna hiyo, na wala hilo la Telegrama lisingekuwa jambo kubwa sana kwa Mwalimu. Kumbuka kuwa aliwahi kumshamehe Gaddaffi ambaye alilite jeshi lake kutupiga, lakibi bado mwalimu alimsamehe na kumsaidia kupeleka mkutano wa OAU huko Libya. Vile vile Mwalimu aliwasamehe akina Lifa Chipaka, Titi Mohammed waliokuwa wamekutwa na hatia ya kutaka kumwua. Kuna taarifa kuwa hata Zakaria Hanspope aliachiwa siyo kwa hurumua ya Mwinyo bali aliyekuwa madarakani wakati huo bali ilikuwa ni huruma ya Mwalimu mwenyewe. Nyerere huyo huyo aliwahi kumkaribisha Amini Mwanza bila kukaribishwa, lakini mwalimu akamvumilia. Mwalimu angekuwa jeuri na mwenye visasi basi angeamuru ndege ya Amini itunguliwe ikiwa angani kwa sababu kuwa ilikuwa ni ndege ya kijeshi iliyokuwa imeingina katika anga la Tanzania bila kibali.
Idi Amini mwenyewe ndiye aliyenunua kipigi hicho kwa bei nafuu sana kwa kuvuka mipaka ya aina yote dhidi ya Tanzania: (a) kwa kuishambulia Tanzania mara kwa mara kwa mabomu na ndege za kivita, na (b) kuihamishia sehemu ya jeshi lake na kuweka bendera yake katika eneo la Tanzania.
Kumbe vilikuwa vita vya kibinafsi! vikituacha wengine kulipia hadi leo hii,achilia mbali waliomwaga damu zao, walioachwa wajane, watoto walioingizwa katika uyatima...
Nasikia na udini ulichoa sana vita ile hivi kweli?[/QU ....... Mzee wako ndio alikuwa wa kwnza kuleta mambo ya udini ndio maana hata karne hii wewe unatuletea udini coz umelithishwa na baba ako
Hivi ulitegemea Nyerere kama amiri jeshi mkuu afanyeje pale ambapo mshenzi kama Idd Amini alipovuka mpaka, kuua raia wetu na kutangaza ardhi yetu kuwa yake??
Watu walikufa Kagera, mali ziliharibiwa, wanawake walibakwa, watoto wasio na hatia waliuawa kinyama na majeshi ya amini. Ultegemea nani awaokoe wahaya kama si majesh yao chini ya amri ya amirijeshi wao? Halafu bila aibu unasema ni vita binafsi??? Shame!
Hivi ulitegemea Nyerere kama amiri jeshi mkuu afanyeje pale ambapo mshenzi kama Idd Amini alipovuka mpaka, kuua raia wetu na kutangaza ardhi yetu kuwa yake??
Watu walikufa Kagera, mali ziliharibiwa, wanawake walibakwa, watoto wasio na hatia waliuawa kinyama na majeshi ya amini. Ultegemea nani awaokoe wahaya kama si majesh yao chini ya amri ya amirijeshi wao? Halafu bila aibu unasema ni vita binafsi??? Shame!
Kweli huyu jamaa alitudharau sana lakini nilichompendea ni hiki hapa!
Na hii hapa!
Hiyo telegraph ni ya kweli kabisa na source yake ni ile documentary ya maisha ya idd amin,ni kweli kabisa nyerere hakumjibu
ila idd amin alifanya hivyo kwa sababu alikuwa hana namna ya kuminsult nyerere kutokana na vitendo vya uchokozi vilivyokuwa vinafanywa na tz wakati huo dhidi ya serikali yake,ndiyo ili kumuumiza ikabidi awe ana mtukana mara kwa mara kuonyesha kutokuridhika kwake na vitendo hivyo vya nyerere.
Hapo kwenye nyekundu nani alikuambia?
Imagine wewe ni mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi nyingine anakutukana kiasi hicho na ukanyamaza eti ni vita binafsi...kwangu haiingii akilini. Nitampiga na wananchi wangu watanisupport kuondoa dharau kwa kiongozi mkuu wa nchi.