Tenda: 500 Tons za makopo zinahitajika kwa mwezi!

Tenda: 500 Tons za makopo zinahitajika kwa mwezi!

G12

Senior Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
156
Reaction score
51
Wadau!

Tunatafuta wadau wawili au watatu wa uhakika wenye uwezo wa ku supply kwa pamoja jumla ya tani 500 kwa mwezi za PET flakes (makopo matupu yanayotumika kutunza maji ya kunywa, soda, n.k).
Ikiwa upo Tanzania na una uhakika unaweza ku supply kiwango hicho kwa mwezi. Tafadhali tuwasiliane kupitia e-mail hii(info@g12.hk).

Naomba kwa wale wenye uwezo huo ndio wanitafute, hii biashara ina process zake ambazo siyo rahisi kwa mtu ambaye hana investment ya kutosha.

Pia inawezekana huna investment, lakini unajua namna ya kupata haya material, usisite kunitafuta then nitakuunganisha na wadau wakubwa ili uweze kuuza kwao, finally sisi tutanunua kwao, ili kurahisisha mchakato mzima na kuhakikisha kila mwenye interest anafaidi kulinagana na mchango wake.

Nyongeza kuhusu makopo tunayotaka:
The recycling source of PET flakes is usually from soft drink bottles. Such as Coca bottle, sprite bottle, mineral water bottle

G12 International Company Ltd.
 
Dili la ukweli sana hili aisee...ntakuPM bro

Ila Lina Ushindani Sana Kiasi Upatikanaji Wa Makopo Huku Town Umekuwa Mdogo Sana
Kwani Ukusanyaji Makopo ni Mkubwa Kuliko Unywaji Wa Maji Na Juice
Hivyo Jipange Sana kaka!

Amani!!
 
Ntafanya feasibility study kabla sijaingia mazima mkuu..nashukuru kwa ushauri wako

Ila Lina Ushindani Sana Kiasi Upatikanaji Wa Makopo Huku Town Umekuwa Mdogo Sana
Kwani Ukusanyaji Makopo ni Mkubwa Kuliko Unywaji Wa Maji Na Juice
Hivyo Jipange Sana kaka!
 
hivi tani moja ya makopo sawa na fuso au scania...nauliza maana uelewa wangu mdogo so msiniumbue
 
tani 500 za makopo kwa mwezi. . .nafsi yangu inakataa kukubali kuwa inawezekana!
 
tani 500 za makopo kwa mwezi. . .nafsi yangu inakataa kukubali kuwa inawezekana!

Hahahah
Mkuu Inawezekana Sana Tena Hata Kwa wiki 2 , Ila Lazima Uwe Umejipanga Kiuhakika Wala si Kitoto!
 
Weka wazi mkuu, bei kwa tani moja in range kwenye shs ngapi?
 
Back
Top Bottom