Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,962
- 312
Naendelea kukubaliana na wewe kwa asilimia 100% uliyoyaandika hapo juu............wenyeji wa Mbeya wanahitaji kujifunza kutoka mikoa kama Kilimanjaro (Moshi), Tanga na hata Arusha..........nakubaliana na yule Mkuu wa Mkoa aliyeita Kijiji Kikubwa...............sidhani hata kama Mbeya ilikuwa na Masterplan!!....ni aibu aibu kuita Mbeya jiji!!.....Mbeya mjini yote inabidi IVUNJWE na iundwe/ipangwe upya kabisa.........I'm sorry mashemeji zangu......ukweli lazima tuuseme...na ninamshukuru sehemeji yangu masopakyindi kwa kuliona hilo............
Unajua sifa zinapondisha wilaya hadhi hadi kufikia jiji? na sehemu zote Duniani majiji hutofautiana kulingana na history,location na jamii husika....Mbeya ni jiji linalocomprise jamii ya wakulima....hata Jiji la Newyork,Chicago huwezi ukafananisha na kansas and boston cities.
Uwepo wa wachuuzi mijini ni sababu ya sera mbovu za kuwaendeleza vijana nchini na wala sio kuwaondoa...waende wapi???? nadhani hujafika Lagos!
Last edited by a moderator: