fikra duni hizo,pamoja na nchi kuwa na viongozi wengi ngazi za juu waislamu bado mnasema mfumo kristo sijui mnaumwa nini
hawa wakristo wanachuki sana na uislam hawawezi kuwa ndugu zetu wanajifanya wao ni ndugu zetu kumbe ni unafiki
Mfumo kristo sio kuwa na rais muislam na hao uliowataja. Hao uliowataja wanafanya kazi zao kizalendo zaidi lakini mfumo ni mpana zaidi ya hao uliowataja. Kama hii topic hapa, mchungaji anazungumzia siasa mnajadili kama vile hii habari amezungumza Mbowe. Lazima tufike mahali tutofautishe siasa na dini.
Unaweza kuuelezea kidogo MFUMO ISLAMU unavyofanya kazi TANZANIA?!!.. Nyinyi watu wa ajabu saaaana!... Wachungaji na maaaskofu walipotoka 2005 na kusema kikwete ni chaguo la mungu stori za MFUMO KRISTO hazikuwepo!.. Walipoanza kumkosoa mkaanza nyimbo mfumo kristo, mfumo kristo!.... MFUMO ISLAMU MUMEUZIKA KANDO baada ya kuona unazidi kuota mizizi katika vyama vyoote!!!!....
hawa wakristo wanachuki sana na uislam hawawezi kuwa ndugu zetu wanajifanya wao ni ndugu zetu kumbe ni unafiki
Mchungaji Gwajima ana hoja hapa jamani
Kaka Willy,Mvchungaji Gwajima hakumuita yeyote chizi,ameyaita maamuzi ni ya kichizi- Hana hoja yoyote ila ni Chizi, sijawahi ona Yesu akiita watu machizi!!
le mutuz
- Mchungaji wako ni simply mjinga na hafai hata kuwa Mchungaji, maana ya siasa hayamuhusu anatakiwa kuwa busy kutafuta wananchi na kuwapa imani ya Mungu huwezi kuwa Mchungaji Kanisani na hapo hapoa ukawa Professor wa Muungano,
- Yesu aliyajua haya mapema sana ndio maana akasema ya Kaizari Muachie Kaizari, huyu Mchungaji ni hopeless inaweza kuwa hata waumini wake ni kama yeye ama sivyo wangemfukuza, mimi ningekuwepo hapo kanisani ingekuwa ni balaa maana nisingemuacha!
- Kuhusu maisha yangu binafsi please wachana nayo maana huu mfupa umesmhinda Fisi, wamejaribu mpaka magazeti ya udaku wameshindwa, kuna we nzako hapa wamejaribu sana kunichafua wameshindwa wewe huwezi huuu ni ukuta, nina Three Combination za masomo niliyoyasoma sana kule USA, nilisomea sana Dini ya Christian, Criminology na Political Science so kwenye hii Combination kucheza na mimi kisaikolojia unajichezeaa mwenyewe, so think again kama ni worhty!!
Le Mutuz
Kaka Willy,Mvchungaji Gwajima hakumuita yeyote chizi,ameyaita maamuzi ni ya kichizi
Angalia msijemkawa mnatukana baba wa taifa aliyeunganisha nchi mbili hizi! Ohoo, Mwalimu Nyerere ndiye aliyeunganisha hizi nchi mbili na kwa wakati huo population ya ZNZ ilikuwa ndogo zaidi kuliko ilivyo sasa!
Muungano haukufanywa kwa kuangalia idadi ya watu bali hadhi ya nchi zilizounda muungano.
Ndio nyie leo hii mnataka kumwita baba wa taifa ST Julius wakati alikuwa kiongozi wa taifa zima. Kwa kigezo kpi mumpe Nyerere utakatifu kama alikuwa hatekelezi majukumu ya kanisa ndani ya serikali?
Ni mbumbumbu tu ndiye ambaye hajui mfumo kristo ulivyo Tanzania.
Mungu hamfichi mnafiki
Mtu huyu jamani ni mgonjwa wa akili, tusipojitahidi kumpatia matibabu mapema, jamii tukakaa tu tukimtuhumu na kumpuuza tunaweza kumpoteza ivi ivi. nashauri jamii tuwe na mioyo ya huruma na embu tutafute jinsi ya kumsaidia mgonjwa huyu.
siku moja nilibahatika kuongea na baba yake kwa masikitiko makubwa aliniambia jinsi wamarekani walivyo mharibu kijana wake huyo. ingawa tulimshauri awashirikishe madaktari bingwa wamrudishie hali yake ya maumbile kama mwanaume rijali wa kawaida, na naamini labda iko siku atakuwa kamili, lakini tujitahidi kumwombea na kumsaidia kwa hali na mali.
pole Willy, tuko pamoja, yaliyokukuta ni kawaida ya maisha, ila usipende kupanic itakuchanganya kichwa zaidi na hali ya ugonjwa inaweza kufikia mahali huwezi tena tibika..
Ni pale wanapojiona bora na kutufanaya watanganyika maboga, kunaukweli flani haiwezekani wazanzibari kuamua hatima ya watu zaidi ya milion 40. ni upumbavu.