'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Hili jambo leo linaonekana geni na jipya ilihali wapo raia wengi tu waliopita jeshini na wakakacha jeshi wakiwa na mavazi hayo na bado wanayatumia huko uraiani tena kwa makeke na kujiamini tu bila kufuatiliwa na yeyote.

Kilichopo na tatizo kubwa lililopo nchini kwetu na kwa kila sekta hakuna ufuatiliaji wa kanuni, taratibu na sheria zinazowaguide hawa watu toka kada mbalimbali hasa za kijeshi.

Huyu kwa vile kaonekana kwa vyombo vya habari basi yumo hatiani lakini walioko mtaani bado wanatesa.
 
Inakuje kwa muda mrefu jamaa anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha hivyo bila Mamlaka za huko kumgundua?
 
- Kama ni kweli amekamatwa ni good news cause tunaishi kwa katiba na sheria, mlisema Zitto kama anataka kugombea urais afuate katiba ya chama chake sasa kwa nini mnaona huyu Mwanajeshi asifuate katiba ya jeshi inasema nini?

Le Mutuz

Sijaona ulilolisema hapa!
 
Kuna suala la hekima..hili linatusumbua sana.

Yani ingekuwa mimi huyu Bonge ya Asset, namtupa le..le akitoka huko anaenda popote,manake anaonekana kujitosheleza kwa mwonekano like a real solder!!! Na siasa anasahau.Kijana desparate na maisha,umejitolea miaka miwili au mitatu JKT ukitegemea kupata ajira ya Jeshi.Matokeo yake unamaliza JKT unaambiwa Jeshi hawana nafasi kwa sasa.Dreams zote za kuwa Mwanajeshi zinayeyuka unaludi kitaa, ukichanganya umri na mob psychology ya kitaani basi balaa tupu.

Kama unavyosema swala la huyu dogo linatakiwa busara!!Kimya kimya lingeondolewa kwenye mazungumzo ya umma pasipo kuonyesha negativity yoyote.Lakini waliovyo sijui manake hizo busara ni mtihani labda bwana mkubwa mmoja kwenye mfumo astukie.lakini ni wachache sana wenye kufkilia positive way katika situation kama hizi.
 
Mimi nafikiri ni mwanajeshi halali.Hapa wanachotaka kuwaaminisha kuwa kamwe CDM haiwrzi kuungwa mkono na jeshi.Kama alikuwa sio mwanajeshi watueleze yuko kituo kipi cha police.
 
Kuna suala la hekima..hili linatusumbua sana.

Usisumbuke sana,......-Hekima=Dhaifu,

Wajuzi nifahamisheni kifungu cha sheria inayokataza kuvaa nguo za Polisi, JWTZ, Askari wanyamapori etc kimekaaje na adhabu zake zikoje?
 
Lema naye sometimes awe anafikiri kabla ya kutenda. Sasa kama huyu amemponza anakwenda kuteseka bila sababu ya msingi. Viongozi chadema muwe mnawadhibiti viongozi walio chini yenu. Wapunguze munkari unaoweza kuwasababishia wao au kukisababishia chama au watu wengine matatizo.

Namuonea huruma sana huyu kijana. Ameponzwa na mtu ambaye alitakiwa kufikiri kabla ya kutenda.

"Think before you act".
 
watu wa ukweli hawafichi undani wa wanayo yaamini ---- kamanda ungana na sisi nchi hii inahitaji ukombozi - ukombozi wa ki- FIKRA


Kamanda bado anamsimamo pamoja na kuviswa pingu umemcheki koonyesha V ushindi
 
Huyu Jamaa alikuwa haonekani na punde tu wamefanikiwa kumnasa. Wauaji wa Barlow halikadhalika walidakwa fasta.
Mbona wananchi "wa kawaida" tukibughudhiwa inakuwa ngumu sana kuwapata wahalifu?
Wananchi wakilalamika kuwa Jeshi la Polisi halijali Raia wenyewe wanang'aaaaaka. Damn!!
 
Huyo mtu apewe adhabu kali kwanza hata wananchi waliomzunguka pamoja na huyo mbunge hawana uzalendo na taifa utapiga vipi picha na askari na wakati ni kinyume na sheria ya jeshi au nchi
wanaona ufahari kupiga picha na jambazi kwanza huenda huyo mtu akawa ameshafanya matukio mengi ya uhalifu akijinadi kua ni askari.
Halafu mnasifia mbunge asiyejua hata sheria ya nchi. Hayo ni mawazo yangu
 
Back
Top Bottom