Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

.....kuna shoga yake ndiye atakuja kunipikia na kulala hapo nyumbani kila akisafiri ili kunihudumia mimi na watoto. Nilipinga sana wazo lake ....lakini .....
...shoga yake akaja pale nyumbani na kufanya shughuli zote zipaswazo kufanyw ana mke na niliporudi usiku nilimkuta sebuleni akinisubiri. Aliniandalia maji ya kuoga na kisha chakula na wakati nakula alikuwa amekaa pale sebuleni akiangalia TV huku tukizungumza.
Tuliishi hivyo kwa wiki nzima hadi mke wangu akarudi na yule shoga yake aliondoka na kurudi kwake. (Huyu dada hajaolewa ila amezaa na jamaa flani huko kwao Songea na mtoto yuko kwa wazazi wake. Hapa mjini anaishi peke yake akijishughulisha na biashara ya kukopesha nguo za kike). Mke wangu aliniuliza kama shoga yake hakumuangusha, yaani alikuwa anaihudumia familia vizuri, nikamjibu kwamba hakuwa na tatizo......

Wiki mbili baadaye mke wangu akaaga anasafiri tena ....... huyu bibie kaanza kunitega na kama mjuavyo wanawake wako smart sana, nilijitahidi sana kukwepa mitego, lakini sikufua dafu, akanidaka tena ilikuwa sebuleni watoto wote walikuwa wamelala.

Naomba nikiri kwamba huyu mwanamke ....siku hiyo alikuwa analala chumbani kwangu mpaka alfajiri ndio anarudi chumbani kwake.
Mke wangu aliporudi nilisikitika sana, maana nilitamani asafiri tena, kutokana na kunogewa na penzi la shoga yake. ....
Hebu wana JF niambieni, hivi mke wangu akijua atanilaumu kweli?

Usijidanganye , unamega shoga ,utamu umekolea sio?

Unafikiri huyo shoga uliletewa bila mahesabu?

Una uhakika huyo mke wako nae hajanogewa na hizo safari anazosafiri?

Sasa jitayarisheni kufa ukimwi tu. RVU zenyewe zinachakachuliwa(fake).

Mke wako lazima atakuwa anacheka peke yake, amekudhibiti.

Shoga ana siri za mke wako, pia ana siri yako.

Huyo mke wako anajua kuwa unakula tunda la shoga na hivyo hatokulaumu, bora tu nawe hutamlaumu utakapogundua kuwa anakula mpaka anavimbiwa mihogo,mizizi ya porini/ nyikani.

Endeleeni tu na mduara wenu!

Umetoa kisingizio cha dini.Kama tatizo la kuoa huyo shoga badilisheni "Dini" yenu ili mkolezane ukimwi vizuri.
 
Yaan hapo ni maradh hamna ktu, mkeo kna jamaa atakua anamkaza af anampa mkwanja mref, na cdhan km atakua mzma na hta hyo ulopewa hujui mwanzo alkua anatoka na kna nani, kfp we na mkeo hpo hkuna ndoa n maigzo tu.
 
Rudi kwa Mungu wako sali sana kwa ajili ya tabia ya mkeo vizuri vipo na vitaendelea kuwepo kuwa na huruma na watoto unathani huyo shoga wa mama uko peke yako na mkizoeana kwa akili zetu fupi wala hampimi ndani ya mwezi tu mnaenda pekupeku.
Hivi kwa nini hatumuweki Mbele Mungu wetu tunaacha mambo ya dunia yanatuteka haya ndio yanaleta kila siku maafa tunamkosea sana Mungu hivi ukikaa bila kumuasi Mungu utakuwaje?tubadilike. Tulia ulee wanao wasome utakufa kwa ukimwi hayo mauno yapo tu kila siku hata kwa mkeo ukimuomba sana Mungu atatulia tena utayapata vizuri, mapenzi yamekosekana ndo mana hata huyo mkeo safari hazzishi. Ukitaka kupata utamu wa penzi muweke mkeo far from stress.
Ngoja nipike mie mana simalizi
 
Pole ndugu yangu,lakini akili yako changanya na za kuambiwa utapata jibu,huyo mkeo kishaolewa kwingine sasa kakutafutia kitu cha kukuziba mdomo.
 
mkeo anatwangwa tena kotekote hakuna vikoba wala NGO kashaolewa huyo akakutafutia mwanamke wa kukuliwaza hapo home,, cha msingi temana na huyo mke wako coz hata yeye hakutaki na anachotaka ni kukufumania na huyo shoga yake then esepe. Wateme wote katafute mwanamke wako mpya
 
mkuu huo utamu unao uona wee hapo kwa shoga na ndio wife anao uona kule kwenye ngo hapo hakuna .ngo. wala ngi stuka mkuu la si hivyo mwisho wake mawaya .
 
Mkeo anakupenda na kukujali sana ndio maana akakuletea shoga ake akuliwaze usihisi upweke...lol ningelipata mke kama huyo ningefurahi sana.
 
haha ha ha, hivi watu mnaosema "mtie mimba" mnadhani mwanamke mwenye akili unawezamtia mimba kirahisi? unawezatiana na mwanamke miaka nenda na miaka rudi lakini asipotaka umpe mimba hakuna unaloweza kufanya Watoto wa secondary tu wanajua namna ya kuepuka mimba seuze shangingi la kingoni!!
 
Back
Top Bottom