Ajira za walimu grade 3a lini na wanaanza na kiwango gani cha mshahara?

acha ubishi wewe tafuta waraka wa mishahara ya watumishi wa serikali uliotolewa mwaka huu.....
mwalimu mwenye diploma anaanza na ngazi ya mshahara TGTS B1 na wa cheti TGTS A1

unajifanya unajua, kumbe unaungua jua tu!! Kwako ww wanaojua unawaona wajinga, kumbe ignorant ni ww. Unabishana na mtu ambae yuko sahihi?
 
ﭖ ﭗﭘ ﭙ ﭺﭻ ﭼ ﭽ ﮊ ﮋ ﮥ ﯼ ﯽ ﯾ ﱞ ﱟ ﱠ ﱡ ﱢ ﮎ ﮏ ﮐ ﮑ ﮒ ﮓ ﮔ ﮕ ﮤ ﴾ ﴿ ﷲ ﺀ ﺁ ﺂ ﺃ ﺄ ﺅ ﺆ ﺇ ﺈ ﺉ ﺊ ﺋ ﺌ ﺍ ﺎ ﺏﺐ ﺑ ﺒ ﺓ ﺔ ﺕ ﺖ ﺗ ﺘ ﺙ ﺚ ﺛﺜ ﺠ ﺡ ﺢ ﺣ ﺤ ﺥ ﺦ ﺧ ﺨ ﺝ ﺞ ﺟ ﺩﺪ ﺫ ﺬ ﺭ ﺮ ﺯ ﺰ ﺱﺲ ﺳ ﺴ ﺵﺶ ﺷ ﺸﺹ ﺺ ﺻ ﺼ ﺽﺾ ﺿ ﻀ ﻁ ﻂ ﻃ ﻎ ﻏﻐ ﻑ ﻒ ﻓ ﻔ ﻕ ﻄﻅ ﻆ ﻇ ﻈ ﻉﻊ ﻋ ﻌ ﻖﻗ ﻘ ﻙ ﻚ ﻛ ﻜ ﻝﻞ ﻍ ﻟ ﻠ ﻡ ﻢ ﻣﻤ ﻥ ﻦ ﻧ ﻨﻩ ﻪ ﻫ ﻬ ﻭ ﻮﻯ ﻰ ﻱ ﻲ ﻳ ﻴﻵ ﻶ ﻷ ﻸﻹ ٩ ِّ ْ % ٤ ٠ ١ ٢ ٣ ٥٦ ﻥ ﻩ ﻭ ﻯ ﻱً ٌ ٍ َ ﻟﻢ ﻺ ﻻ ﻼ ٧ ٨
 
grade 3a 270000 diploma 360000 degree 420000 kitu km hicho. ila ww gr.3a unauliza mshahara una option?
 
Kafanye kazi acha kuulizia hela utapata kichaa!ila c1 ni kwa dipu na b1 kwa cheti ndiyo taarifa sahihi.Angali hapo juu amekuandikia basic na take home yan 377 kwa 325 na 277 kwa 230.
 
Ndugu zangu kuna walimu wengine ambao mwaka 2006 wlimaliza chuo cha grade3A ila kwakuwa walisomeshwa na mashirika ya dini kuwa wakitoka chuo warudi kufundisha shule za mashirika hayo kwa mkataba wa miaka 3 hadi 5, sasa wamemaliza mikataba hiyo wanataka kurudi katika ajira za serikali je wafanyeje maana wameandika barua kwa katibu mkuu wizarani mpaka wamekata tamaa hawapewi ajira.
 
mmeweka wazi wa walimu. Je wa secta singine ukoje? Polisi, hakimu, nesi n.k?
 
Degree basic salary tsh 530,000 hv bt wakikata uchakavu nwingine kama kodi,bima ya afya,pspf na cwt ndo take home inakua 420,000
 
Back
Top Bottom