chadema ndio chama kitakachoongoza dola 2015 ajira za jeshi zitakuwa wazi na bila kificho na upendeleo kwa watoto wa makada wa chama.
Jeshi na siasa ni pusi na panya ingawa wako pamoja.
jamani humu ndan watu wengi inaelekea wanataka nafasi za jeshi kiukweli jeshi kuanzia mwaka 2011 utaratibu umebadilika cha msingi kama unania kweli ya kwena jeshi tuma barua yako kwenda kwa MKURUGENZI WAJIRI WA JWTZ,S.L.P 9203,DAR-ES-SALAAM.....POINT YA MSING UKUBALI KUANZIA JKT HATA MWAKA MMOJA TUMA SS USISUBIR MPAKA WATANGAZE KOZI NAFASI ZAWEZA KUWA NDOGO KUTOKANA NA WATU WENG WANATUMA SASA.............huo ndo msaada wangu kwa wanaotaka jeshi
kamanda sithani kama ni kweli mkuu...nimesoma barua walio toa tare tatu mwezi huu,JKT ni miaka miwili kujitoleahilo nalo neno kaka
In this life there are two things involved, it is either you are a woman or you are man! if you are a woman you are safe! if you are a woman you are safe! if you are a man there are two things involved, it is either you are a civilian or you are in the military, if you are a civilian you are safe, if your in the military there are two things involved............mtamalizia nyie mnaopenda jeshi
Mnalipenda kwelii au njaa njaa zenu za ajira ndo zinawaforce kulikimbilia? ni bora ujiulize mara mbili je ni kweli unalipenda jeshi je? mikiki mikiki yake utaiweza masharti yake utayavumilia kwa zaidi ya miaka 20 utakayolitumikia je moyo wako utakuwa na amani kuvaa magwanda badala ya casual outfits kwa miaka hiyo? usije kuwa umekaa mtaani umekosa dira so unaona jeshi ndo kimbilio utajutaa!
Mkuu, ume-bug men, utaratibu wa ajira JWTZ unaanzia JKT Kama ulivyosema, lakini ili ujiunge JKT ni lazima mambo yako yaanzie kwenye serikali ya mtaa/kata unakoishi. Huko kuna mchujo unafanyika kwa kupitia mazoezi, wanaofaulu hupelekwa wilayani ambako kamati za Ulinzi na usalama zinawafanyia usaili na wanaoshinda hupelekwa mkoani na kamati Kama hiyo ngapi ya mkoa huchuja tena. Wanaopita ngazi ya mkoa hupelekwa kufanya wa medical examination na wanaopita huruhusiwa kujiunga na JKT. Wanaofanya vizuri JKT baadhi Yao huchaguliwa kujiunga na JWTZjamani humu ndan watu wengi inaelekea wanataka nafasi za jeshi kiukweli jeshi kuanzia mwaka 2011 utaratibu umebadilika cha msingi kama unania kweli ya kwena jeshi tuma barua yako kwenda kwa MKURUGENZI WAJIRI WA JWTZ,S.L.P 9203,DAR-ES-SALAAM.....POINT YA MSING UKUBALI KUANZIA JKT HATA MWAKA MMOJA TUMA SS USISUBIR MPAKA WATANGAZE KOZI NAFASI ZAWEZA KUWA NDOGO KUTOKANA NA WATU WENG WANATUMA SASA.............huo ndo msaada wangu kwa wanaotaka jeshi