Recent content by as1987

  1. as1987

    JamiiForums Tanzania Kijana tapeli akamatwa na milioni 15 za mfuko wa Rais

    Hapo ndo nashindwa kushangaa angeenda kutamba nazo mbele uko....tatizo hakuwa na plan b baada ya kufanikiwa
  2. as1987

    JamiiForums Tanzania Mabinti tazameni nguo za kuvaa kwenye nyumba za ibada

    Angekuwa anaelewa wala hata asingenunua.....bora kajistiri kuliko kwenda uchi. Naukute yeye kaelew neno kuliko hata mpiga picha anaeacha kazi ya kusikiliza miss na kushangaa watu
  3. as1987

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Say it again haaaa
  4. as1987

    JamiiForums Tanzania Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

    Nampenda young Killer Msodoki, kuanzia uandishi, anavorap, nikisikia ile sauti Yani ndo mweee,sijui kamenifanyaje haka kabwanamdogo
  5. as1987

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta atinga party la krismas!

    Endelea kuota, labda mpige yale mrimba mnyoyapiga kila siku
  6. as1987

    JamiiForums Tanzania Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

    Shoga angu hata usipate tabu mi mwenyewe nlikuwa mweusi, nikanunua lotion inaitwa perfect white kupaka nikawa mweupe Hadi najishtukia, nilienda kununua grace zoa zoa 2000 tu, nimerudi ngozi yangu Kama means....wadada acheni kujichubua jaman Mana nimeona karaha kwanza unakuwa hauna confidence...
  7. as1987

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi lilivyopatikana jina la Madina nchi ya Congo.

    Jaman tulia uandike vizuri, vitu Kama hivi usiandike harakaharaka japo sio kila kitu lazima tuelewe
  8. as1987

    JamiiForums Tanzania Tabata imevamiwa na wadangaji

    Aisee hyo maeneo kama unamtu wako kicheche asiende mwenyewe.....wanavaa kushawishi ngono kabisa wale
  9. as1987

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili ya Jerry Murro iko sawa ?

    Yupo day huyu...faili lake liko milembe pale
  10. as1987

    JamiiForums Tanzania Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

    Alichokitafuta amekipata....
  11. as1987

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Janeth Shonza & Milembe wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja, wakana mashtaka...

    Kwa kusemekana kuiba mataulo kwenye ndege?? Hahaha
  12. as1987

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa, mwanaume akinipa hela ananiomba tena hela

    Hivi unashinda kumtimua otherwise unapenda kuombwa
  13. as1987

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Yenye nyota, Libya
Back
Top Bottom