Tetesi: Jinsi lilivyopatikana jina la Madina nchi ya Congo.

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,781
2,000
Habari za majukumu wakuu na wadogo.
Tunatambua kwamba mji wa Madina unajulikana kwamba ni uwarabuni hilo halina ubishi.
Ila kuna kasehemu ambapo palipatikana kwa jina hilo, ambayo ndo makao makuu ya waasi.

Chimbuko la jina hilo; awali Tanzania waliandaliwa kwa ajili ya kwenda kusoma masuala ya dini ya kiislam huko Madina, waliandaliwa vizuri na kusubiri safari yao kuanza.

Siku ilipofika ya safari, wakachukuliwa na kusafirishwa mwisho wa sikuu, wakajikuta wamepelekwa Congo. Ikaandaliwa safari nyingine ya kuwapeleka porini.

Mpaka mda huu wakapewa sumu ya moyo (kufundishwa ukatili). Wakajumuika na wenyeji waliowakuta kule. Sasa basi kama ulishawahi kusikia wanapoenda kupigana mara nyingi wanatumia neno" Allah Akbar, Allah Akbar" kama ndo nyimbo yao.

Awali juzi walipokwenda kuwapiga walinda amani waliingia mpaka msitini wakabeba misahafu, kanzu na vitu vyote ambavyo vilihusika msikitini.

Mmoja kati ya wapiganaji wa UN walimuona na kutaka kimshambulia, baada ya kuitikia kalma ya Allah Akbar. Wakaacha na kumbeba kama mateka. Jibu lao kwamba huyu ni muislam mwenzetu tumpeleke kwa boss wetu, pamoja na yote walimchalenji nankutaka kujua kama ni muislam. Walimfunulia mfahafu na kumpa asome japo aya tatu ndo wakambeba.

Ushauri kwa upande wa askari, kuliko kukubali kukuchukua wale, ni bora ukubali wakuuwe. Maana ukifika eneo lao wanaweza kukuchinja kama nyama buchani. Habari zaidi kuhusu huyo alietekwa ntawapeni nikipata habari zaidi naendelea kufuatilia.
 
babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,671

Haya makanisa ya siku hizi...
Ndicho mlichobakia nacho,huku mkijiita watakatifu..
 
as1987

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
1,262
1,500
Jaman tulia uandike vizuri, vitu Kama hivi usiandike harakaharaka japo sio kila kitu lazima tuelewe
 
mwambadog

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
1,736
2,000
Habari za majukumu wakuu na wadogo.
Tunatambua kwamba mji wa Madina unajulikana kwamba ni uwarabuni hilo halina ubishi.
Ila kuna kasehemu ambapo palipatikana kwa jina hilo, ambayo ndo makao makuu ya waasi.

Chimbuko la jina hilo; awali Tanzania waliandaliwa kwa ajili ya kwenda kusoma masuala ya dini ya kiislam huko Madina, waliandaliwa vizuri na kusubiri safari yao kuanza.

Siku ilipofika ya safari, wakachukuliwa na kusafirishwa mwisho wa sikuu, wakajikuta wamepelekwa Congo. Ikaandaliwa safari nyingine ya kuwapeleka porini.

Mpaka mda huu wakapewa sumu ya moyo (kufundishwa ukatili). Wakajumuika na wenyeji waliowakuta kule. Sasa basi kama ulishawahi kusikia wanapoenda kupigana mara nyingi wanatumia neno" Allah Akbar, Allah Akbar" kama ndo nyimbo yao.

Awali juzi walipokwenda kuwapiga walinda amani waliingia mpaka msitini wakabeba misahafu, kanzu na vitu vyote ambavyo vilihusika msikitini.

Mmoja kati ya wapiganaji wa UN walimuona na kutaka kimshambulia, baada ya kuitikia kalma ya Allah Akbar. Wakaacha na kumbeba kama mateka. Jibu lao kwamba huyu ni muislam mwenzetu tumpeleke kwa boss wetu, pamoja na yote walimchalenji nankutaka kujua kama ni muislam. Walimfunulia mfahafu na kumpa asome japo aya tatu ndo wakambeba.

Ushauri kwa upande wa askari, kuliko kukubali kukuchukua wale, ni bora ukubali wakuuwe. Maana ukifika eneo lao wanaweza kukuchinja kama nyama buchani. Habari zaidi kuhusu huyo alietekwa ntawapeni nikipata habari zaidi naendelea kufuatilia.

hii dini wapuuzi hawaeleweki hata wanacotaka

wanaishia ccm hoyeeeeee
 
kwabwina

Senior Member
May 29, 2016
128
250
Mkuu mbona Kama uzi ni wa uchochez kabisa mods nmmelala au mpo bize na habar za babu seya na mwanaye papii
 
Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,781
2,000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom