Tabata imevamiwa na wadangaji

Tabata imevamiwa na wadangaji

neno hilo la wadangaji kwetu linamaanisha wanga, haya kiswahili cha mjini hiko
 
Mbona vitu vya kawaida sana, Kama unatembea usiku kwy sehemu za starehe. Dar es salaam sehemu nyingi madanga wapo na sehemu ambazo kwny carwash, gereji, chooni na sehemu ambazo kuna Walinzi ndio sehemu za kufanyia mapenzi
 
Mbona vitu vya kawaida sana, Kama unatembea usiku kwy sehemu za starehe. Dar es salaam sehemu nyingi madanga wapo na sehemu ambazo kwny carwash, gereji, chooni na sehemu ambazo kuna Walinzi ndio sehemu za kufanyia mapenzi
mapenzi au ngono!?
 
Kweli mkuu mie naishi huku huku yaani kwenye mabaa wapo kibao tu afu wengine ndo wanananisha huko vichochoroni na ni karibu bar zote maarufu ukiachia mbali KB, 40/40, The Great, kwetu Pazuri, Micassa, BL na Viva kuna kwingine kama kwa mchina pale Bima, Silver pale Mawenzi, Highbury mawenzi pia, Ant stress kimanga, mizzy pub pale Chama, na kwingine malizieni wenyewe
 
Nikitongoza Dem akiniambia anakaa tabata au sinza au kinondoni baaasi hamu yote inaisha
 
Wiki kama mbili hv zilopita nilikatisha Kwa miguu nikitokea maeneo ya KB nikakatisha vichochoro flan kama unakuja SWIS mida ya SAA NNE ucku,nilivyokaribia karibu na car wash flan nikakutana na wadada km wanne hv wadangaji,wakanitinga mbele yangu na kuanza kuniomba tukapigane Pumb*,huku kila mmoja akijaribu kunishawishi kivyake,nilipochoka ni pale mmoja aliposema eti 6000 yako tu unakula kitu saafi na kondom anayo na tissue pia anayo,ananiomba twende car wash chooni tukamakize mambo Kwa mlinzi,nikajiuliza Hawa watu wamevamia lini tena tabata jmn,namshukuru Mungu nilivishinda vishawishi vyao maana nilikuwa ninawahisha dawa ya tumbo Kwa mdogo wangu home,ungekuta sina haraka labda Kwa Mara ya kwanza nakula Malaya chooni.kuweni makini na maeneo hayo nyakati za usiku hasa wale mnaokatisha vichochoro Kwa miguu wakuu.
Elekeza vizuri nami nikapitie hapo mara Moja mambo ya kwa mlinzi
 
Kweli kabisa!

Mimi nawajua wawili ambao supposedly ni high-end!
 
Back
Top Bottom