Mabinti tazameni nguo za kuvaa kwenye nyumba za ibada

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20180104-WA0020.jpg
 
Dini yao haijali hata wakienda na chupi tu itakuwa tshet nzuri hiyo?
Mkuu acha dharau kwa dini za watu, ninyi mkisemwa kidogo mnaandamana kwa sababu ya inferiority complex.

Tambua hili ni tatizo la mhusika na jamii kutofahamu lugha na bila shaka kwa kuwa hawatambui maana haina tatizo kwao, Shida ipo kwako wewe unayeelewa maana ya hayo maneno.
 
Samahani mkuu basi yupo sahihi!
 
Angekuwa anaelewa wala hata asingenunua.....bora kajistiri kuliko kwenda uchi. Naukute yeye kaelew neno kuliko hata mpiga picha anaeacha kazi ya kusikiliza miss na kushangaa watu
 
Sasa hata ukitazama na huelewi kilichoandikwa inasaidia nini. Hapo kijiji kizima pia hakielewi maana yake ndio maana kaweza kukatiza nayo vichochoro kadhaa hadi kanisani alipokutana na Mwanahabari huru kutoka mjini na simu yake kanisani. Msomi wa ngazi ya juu hapo mwalimu Juma wa Limbyondosi Pr School naye hafundishi kizungu.
 
Back
Top Bottom