Kijana tapeli akamatwa na milioni 15 za mfuko wa Rais

Nadhani watoa huo mkopo hawana weredi na kazi yao maana mkopo wa kikundi lazima wanakikundi waweke sahihi na kuwe na watu zaidi ya wawili kuchukua mkopo
Sasa linalozitoa ni mburula wasimamizi watakuwa na akili? Haya mambo si yalilalamikiwa na Ndugai hii ya kutoa fedha kwa vikundi sasa imekuwaje tena? Ina maana hela za Rais zinatolewa kwa mtu mmoja mmoja?
 
Labda kama maelezo yametolewa kwa ufupi. Lakini Mkopo huo unaonekana kutoka kirahisi sana.
 
yaani wabongo ni waoga wa kuanza maisha mapya, asa umesha wakwapua 15m. unabaki moro kufanya nini

nenda zako mbeya, sumbawanga, katavi fanya biashara ya mazao, samaki, mitumba.

acha kuwasiliana na ulio waorodhesha kwenye mkopo ukifanikiwa kila la kheli ikibuma bora ulijaribu
Hapo ndo nashindwa kushangaa angeenda kutamba nazo mbele uko....tatizo hakuwa na plan b baada ya kufanikiwa
 
Back
Top Bottom