Afya ya akili ya Jerry Murro iko sawa ?

Afya ya akili ya Jerry Murro iko sawa ?

Tangia ale rushwa ya mzee wa bagamoyo ajawahi kupona akili maana alikula na akamzamisha vile huyu tapeli mwenye cv chafu ya rushwa.
 
Mheshimiwa usiyechezewa,usiyejaribiwa,mwenye frastration nakuomba umuokoe Jerry Muro angalau umpe angalau amsaidie polepole ili kumuokoa ana hali mbaya kiroho,kimwili na kiakili!
 
Naomba wale wataalam na Madaktari wa magonjwa ya akili waje watusaidie , na hakuna haja ya watu wasio wa fani husika kuingilia.

Kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni , aliyekuwa Msemaji wa Yanga na mtuhumiwa wa kumiliki pingu kinyume cha sheria , ndugu Jerry Murro ameibuka kuwa msemaji wa mambo ya siasa bila hata ya kuwa na cheo chochote kinachotambulika , amejivika usemaji wa ccm kiasi ambacho ni cha kutia aibu sana !

Kauli za hovyo anazotoa zimeleta mashaka kwenye jamii kiasi cha watu kujiuliza kama afya yake ya akili iko sawa .

Ni vizuri wataalam wa magonjwa ya mtindio wa ubongo wakatueleza kama ni mzima au la ili kumuepusha na makombora yasiyo ya lazima.

Natanguliza shukrani .
Wewe mwenyewe umeshajifanyia self diagnosis? Maana hata wewe kwa akili hii lazima utakuwa na matatizo kichwani.
 
d2639ba6ee3d164727177feacd469106.jpg
 
Ana shida ya upweke na msongo wa mawazo....
rumors is ..ni mtoto....so....
Hilo la rumors ... Nilishalisikia nikaona ni mashambulizi tuu ingawa tabia za watu wa aina hiyo ndio hizo anazoonyesha.
Ila kwa vile nawe mkuu The Boss nawe umelisikia sina haja ya kuwa na mashaka tena.
Hivi umri haumruhusu kupewa cheo UVCCM akakutane na wenzake huko maana wako wengi ili naye atafutiwe eneo LA mapumziko Mombasa?
 
Back
Top Bottom