Recent content by Apta Kayla

  1. A

    Kongamano la Uhuru Live Kutoka Nkrumah UDSM

    Leo Esther amejawa na jazba za kisiasa mpaka amevuka mipaka yake ya kuwasilisha mada vizuri kama alivyofanya katika kongamano lililopita. Alikuwa na hoja nzuri tu, kama angeziwasilisha kwa utulivu angekuwa mmoja kati ya wachangiaji waliofanya vizuri. Sijui amepatwa na nini leo.
  2. A

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    Well said Zitto. Proud of U.
  3. A

    Dola elfu thelasini na tisa na laki tano_ Aden Rage

    Ni $ 39,000 na Tsh 500,000 kwa tuliosikiliza habari hii kwa makini hilo ndio alilomaanisha. Hzo Tsh gharama za wakili.
  4. A

    Tamko rasmi la Ray kifo cha Kanumba

    Alikuwa MTU WA TATU KUJULISHWA...? Hii sentensi tata. Alijuaje kama yeye alikuwa wa tatu? Wa tatu kujulishwa na nani? Alipata wapi wazo la kumuuliza aliyemjulisha kama yeye ni mtu wa ngapi kujulishwa?
  5. A

    Ibara ya 24:3 ya Sheria ya Utumishi wa Umma ina maana gani? Rais anaweza kumlazimsha jaji kustaafu?

    Kwanza naomba kufanya marekebisho kidogo, neno 'Ibara' linatumika tupapozumzia KATIBA, kwenye SHERIA tuna 'Kifungu' hivyo unachozungumzia ni Kifungu cha 24 kwenye Sheria Namba 8 ya 2002 Sheria ya Utumishi wa Umma. Nadhani umepata point nzuri tu kwamba utaratibu wa kuwaondoa Majaji na Mahakimu...
  6. A

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Im so proud of you Mnyika.
  7. A

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Kweli wabunge wa CCM kiboko. Dakika chache zilizopita walimshangilia M/Kiti wa Kamati ya Miundo Mbinu kwa kupinga mapendekezo ya Mnyika. Baada ya debate kumsupport Mnyika nao wamegeuka wote.
  8. A

    Hepi besidei LULU

    Happy Birthday Precious.
  9. A

    Watch Out; Tigo Pesa, M-Pesa ni Janga Kuu, wengi Wameumia!!

    Nijuavyo mimi walio kwenye vibanda hawana taarifa za kupiga/kupigiwa za mteja. Taarifa hizo zinapatikana customer care centres tu.
  10. A

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Na kwa Taarifa zilizomnukuu Halima Mdee kupitia Website ya Millard Ayo, Lulu alikuwa apigwa kwa kutumia ubapa wa panga, hatua iliyopelekea Lulu akafanyiwe uchunguzi wa kitabibu kujua athari za kipigo hicho. Akihojiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi, Kanumba alisema hapigi wanawake.
  11. A

    CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Arumeru Mashariki

    Mbona Uzini walishiriki?
  12. A

    Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

    Yo mamsap, nipoze moyo mama, nimechanganyikiwa na penzi lako la gharama, mapenzi si ugomvi, mapenzi si uhasama, nipe penzi nikupe hapa mimi ni salama.
  13. A

    Naanza kumkubali/kumpenda JK

    Hapo kwenye suala la posho ungewatoa Zitto na Makamba tu, wabunge waliobaki wote waliitaka hiyo laki 2.
  14. A

    Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

    Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa Afisa Elimu wa Manispaa moja hapa Dar, NECTA wameamua kutoa matokeo pamoja na selection. Kwa hyo kila mwanafunzi aliyefaulu atajua na shule aliyopangiwa, hicho ndicho kinasababisha matokeo kuchelewa kutoka.
Back
Top Bottom