Uwiiiiiiiii, TCU mnazidi kunipandisha presha!

Hii ndiyo bongoland baba, kama hukuijua ndo unaonyeshwa mitaa ya jiji la bongo. unapompatia mtoto wa miezi sita wembe akunyoe ndevu unategemea nini?

Usiogope mkuu. Yupo Mungu mwenye haki anawaangalia sana wanyonge wanaomwita kumlilia. Sasa badala ya kushangaashangaa, bora ujifunze kumlilia Mungu ambaye hahongeki, humpa kila amliliaye kwa kiwango cha kumtosheleza mja huyo. Hata kama hujui kuomba, wee mlilie vyovyote tu na mwambie unamwamini na utakuwa mtiifu kwake. Anajua haja zako hata kabla hujamwambia, utayarishe moyo wako tu na muda wa faragha naye. Sio lazima shekh au padri awepo. wewe na Mungu tu kitaeleweka, na hao watcu watabaki kushangaa umecross vipi?
 
Dah mi nachoka na hawa jamaa. kozi ilikuwa not elegible 3 weeks then from no where inakuwa eligible
 
Habari njema kwa toka TCU!!!!! Mambo yapo tayari wameshamaliza,kinachosubircwa ni kufanya coordination na board ya mikopo,ili kuthibitisha click hapa TCU WEBSITE uone link mpya yenye list ya selected students
 
kwa wakati huu ambao wamefunga application waacheni wafanye kazi, mtaendelea kupata presha zisizo na dawa,wakisha release majina ndipo unaweza kucomplain, kwani walioapply kwa simu inakuwaje? mbona siwasikii wakicomplain, vuteni subira wote mtachaguliwa kama mnasifa.
 
mi nshajichokea zangu..wataponipanga poa tu!! mana moyo nnao 1 alaf nikiendekeza hizi presha si ndo nta uterminate kabisa..litakalokua na liwe..
 
Kwa anaetaka kujua kapangiwa wapi.it's simple,ingia kwenye Cas,ile sehemu ya kuweka username unaandika code ya chuo let say Udsm code yake ni UD,afu ile sehemu ya pasword unaweka hzi number 111111,automaticaly utaingia kwenye majina ya watu walochaguliwa kwenye chuo husika utaona ka umechaguliwa or not.
Note:hzo password zinaenda zikibadilika badilika,so usishangae ukitest zikagoma.
 
kwa anaetaka kujua kapangiwa wapi.it's simple,ingia kwenye cas,ile sehemu ya kuweka username unaandika code ya chuo let say udsm code yake ni ud,afu ile sehemu ya pasword unaweka hzi number 111111,automaticaly utaingia kwenye majina ya watu walochaguliwa kwenye chuo husika utaona ka umechaguliwa or not.
Note:hzo password zinaenda zikibadilika badilika,so usishangae ukitest zikagoma.
huu ni uongo mtupu..hamna kitu kama hiki!!!!!
 
huu ni uongo mtupu..hamna kitu kama hiki!!!!!

jana usiku ilikua inakubali,na nilifanikiwa kuingia kwenye orodha ya majina ya sua,bahati mbaya kozi niliyokua nimeomba nikakuta cjaichaguliwa,ila ikawa nimeindiketiwa kuwa nimechaguliwa udsm.
 
jana usiku ilikua inakubali,na nilifanikiwa kuingia kwenye orodha ya majina ya sua,bahati mbaya kozi niliyokua nimeomba nikakuta cjaichaguliwa,ila ikawa nimeindiketiwa kuwa nimechaguliwa udsm.

wewe nili ONGO nambari moja
 
jana usiku ilikua inakubali,na nilifanikiwa kuingia kwenye orodha ya majina ya sua,bahati mbaya kozi niliyokua nimeomba nikakuta cjaichaguliwa,ila ikawa nimeindiketiwa kuwa nimechaguliwa udsm.
nahis jana ulilala bar sasa ndo ume ku-ru-pu-ka toka usingizin!!!! Acha chezea akili za watu kijana!!!
 
Back
Top Bottom