Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 875
- 1,779
nakumbuka sana enzi za park lane (cp & suma lee).....
mkuu vijana wa leo hawawezi elewa hii kwani enzi hizo hata wanaoitwa wakongwe wa game leo walikuwa hawapo...huyo mr 2 sugu alikuwa mbeya sijui iringa huko,nigger j a.k.a prof j hajulikani alikuwa wapi!!!!huwezi zungumzia wakali wa enzi hizo bila kuitaja fukwe ya coco beach na zile beach parties ambapo k.u crew ndo ilikuwa ngome yao!
Duh mkuu huyu jamaa John Dilinga siwezi kumsahau maana nikizungumzia burudani jamaa ni entertainer haswa huyu bwana anapiga muziki balaa! Unaweza kuenjoy hata kumuangalia tu jinsi anavyopiga muziki.binafsi nilikuwa kichaa wa vipindi vyake maana hakurupuki na enzi zile akisimama kwenye machine club bilicanas kule juu jinsi anavyopagawisha hadi jengo utafikiri litaporomoka,hata pale E.A radio akiingia studio mpaka sound ya radio inabadilika.Duh Legendary Dj JD we real enjoyed on those days,cku hizi hata hamu ya club sina sijui umri!Dah huyo John Dillinga my crew alikuwa Mkali sana yaani ni kati ya maDJ wakali sana Bongo hivi sasa hivi yuko wapi, nakumbuka kuna disco lilikuwa pale by then mambo Club walikuwa wanajiita the powerfull 4 DJ JD, DJ RICO wawili siwakumbuki) aisee jamaa walikuwa wanatandika hizo ngoma ile mbaya, DJ JD anacheza na turn table hadi aibu!!!
Hili game ya Juma nature ndio mpango mzima kaka, au Tunataabika ya mabaga freshi duh!Boss- Daz Mwalim, Juma Nature na Solo ThangMambo ya pwani, homa ya dunia, mpenzi wangu nakupenda -Solo ThangMi na mabinti damu damu, Mwanafalsafani, Ingekuwa vipi, Tuliza ball etc- Mwana FAHili game, mzee wa busara, tulianzisheni la kigeto geto -Sir NatureMachozi ya furaha, kifungoni, makini- JdeeNiko kwa ajili yako - Stara ThomasSafari- Pauline Zongo Hii leo- JK, AY n FAetc etc...
Mkubwa thanx 4 ur updates, nimekukubali kinyama, hizo picha na maelezo ndio mpango mzimaa. Thanx so much mkubwa, kuna mambo hayakua tukiyaelewa ila kwa msaada wako yapo sawa sasa!hebu cheki madude ya kina KU masela enzi hizo walikuwa hawatafsiri VINA .. kama watoto wa bongo flava enzi hizi ... wanalia mapenzi tuJE UNAKUMBUKA ENZI ZA .. OYA MSLEAA OYAAAA! OYA MSELA OYAAAA!!washakaji utawapata hadi kwenye WIKI PEDIA Kwanza Unit - Wikipedia, the free encyclopedia777777777777777777777777777777777777KWANZA UNIT 1993. EASY B,D-ROB,RHYMSON,FRESH G,Y-THANG.View attachment 34175KWANZA UNIT 1993 "Chillin@ HomeBASE..aka COCO BEACH. FRESH,BALBO B(R.I.P),KBC,O.J.,EASY B,ZAWADI,D-ROB(R.I.P),NZEBAView attachment 34176KWANZA UNIT+THE FOUNDATION 1993. RHYMES,SMOKE AND POLITIX,LoTs of FREESTYLES@ HomeBASE..SHINNE,KHALID(lil boy then),TOTTOO,BABII,DENISS,MACKAYView attachment 34177KWANZA UNIT & KALAMASHAKA 1999 NAIROBI. "HIPHOP HARAMBEE" View attachment 34178KWANZA 1994. KBC,D-ROB,FRESH G,Y-THANG,EASY B,CHIEF RHYMSON.View attachment 34179NIGGA ONE..R.I.P
Ila King Crazy GK katokea mbali sana yule, ni moja ya waasisi wa KU (Kwanza Unity), mshikaji ana swaga za kivyake sana!mkuu vijana wa leo hawawezi elewa hii kwani enzi hizo hata wanaoitwa wakongwe wa game leo walikuwa hawapo...huyo mr 2 sugu alikuwa mbeya sijui iringa huko,nigger j a.k.a prof j hajulikani alikuwa wapi!!!!huwezi zungumzia wakali wa enzi hizo bila kuitaja fukwe ya coco beach na zile beach parties ambapo k.u crew ndo ilikuwa ngome yao!
Thanx 4 ur update kaka! Nimependa ufafanuzi!d ro a.k.a zomba ndo alipotekea ku crew na pale maeneo ya o bay ndo ilikuwa ngome yao mpaka IST na coco beach!GK kipindi hiko hakuwa anajulikana kimziki alikuwa ni rafiki wa marehemu D ROB anayeitwa BEIBII na JLT
Nimeukumba kwa sababu ulibamba then ilikua gumzo kubwa enzi zile. Nau'withdraw kaka!wimbo wa kijinga sana kupata kutokea,sijui kwa nini umeukumbuka,hivi kweli mtu uliyelelewa kwenye maadili unaweza kutunga au kuimba wimbo kama huo?
Starehe? teh! teh! teh! Feruzi alibamba kinyama!dk, mi nmekuja tu kupata hitimisho,dalili zinaonyesha kwamba mi nimetharika...........ninao niiano, subiri vipimo;... ninao nniao;... usikate tamaa ................. huu nao ulitesa!!! ni nani vile?na ule wa nikimnunulia soda hataki anataka togwa, viatu anaweka ndani ya friji, nafikiri ni wa Prof. J. kama sio maji marefu.
aaah mkuu ubongo wa fleva hapana. enzi za matamasha dön bosco, kuna vitu kama turuke turuke, kukurukakara zako, tanzania na siamin kama tupo wote wa mawingu band.Duh! Kumbe unaijua na wewe? Nilidhan zako ni slow jams za bongo flava!