Kweli mtoa mada umefikiria Sana'a na ukilichunguza kwa umakini utabaini jambo hili halina maana kubwa zaidi ya kupotezea taifa fedha nyingi ambazo zingefanya maendeleo ya jamii
Jamani mi nafikiri mtoto wa kuku amejaribu kuonyesha njia kua hata ukiw na mtaji mdogo uneza fanya mambo yakuingiza pesa nyingi zaid, hana maana kua ni lazima hyo ela uilimie matikiti, tuache mawazo mgando tuamkeni jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.