mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Sabalkheri wanajamvi,
Naona vijana wanahamu na koz za afya na mim ningependa kushare na nyinyi uzoefu wangu..
TWENDE KAZI..
Pale NACTE wamesema kwa Diploma unahitaji uwe na C ya Bio na C ya Chem! Na D ya either Phys au Math!! Sasa hapa hapa ndo panapowafanya vijana wakose njia!
Mfano: Wewe una hizo C mbili na D moja ila hesabu una F! Au una div 3! Unakimbialia unajaza Lugalo! Au chuo chochote chenye jina! Kumbuka katika mfumo huu watachukuliwa mpaka wale watakaofeli form 6 mwaka huu! So wao pia watakuja na vyeti vya o level Vyenye div 1 na 2 watataka ku apply mwisho wa siku wewe unatemwa!! Na unapelekwa kwenye koz usizopenda huku private ada m3!
NINI CHA KUFANYA?
Kama una dv 3 au 4, na una qualification za diploma, jaza vyuo vya serikal kimoja! Kwa dip kwa 1st choice! Kama home safi mambo ya Dad, 2nd choice jaza private na 3rd jaza private! Ila kama home pabovu 2nd choice na 3rd jaza vyuo vya serikal certificate ili usije kukosa nafasi.
Maoni yanakaribishwa..