upinzani wa kisiasa si kupinga kila kitu bali ni ushindani wa hoja na sera wananchi wakizikubali basi chama chenye sera zilizokubaliwa kitashika hatamu.
kwa mfano Wanadai ccm inabana uwanja wa demokrasia kwa kuogopa kung'olewa hili si sawa wakati ukifika hakuna ubishi kama yaliyotokea Ghana...
wakuu si vyema kumuhusisha mtu,taasisi au cham chochote cha siasa wakati sula lipo mikoni mwa vyombo vya usalama kwa uchunguzi makini.
Tusubiri tuone matokeo ya uchunguzi then utaratibu ambao nchi imejiwekea kushughulikia uhalifu kama huo utafuata.
Naamini jeshi la polisi na idara ya...
Wakuu hoja ipo kwenye kamati ya ubunge mambo ya nje,ulinzi na usalama, kinachotakiwa kama waziri mkuu alivyosema DR.slaa angesubiri mchakato umalizike hapo pangekuwa patamu na ingekuwa kazi rahisi kumuhukumu muhusika halisi.
na kama Mh.DR.Slaa anataka skata la ID Lishughulikiwa basi Mh.Spika...
Governor wa BOT katika mahojiano yake na wabunge mjini DODOMA alitabainisha kuwa msukosuko wa uchumi Unatokea hivi sasa duniani hautatuasili sana kwani uchumi wa wetu haujashikamana sana na nchi zilizoendelea,ila alitotahadhari kuwa kwa exportation zone zao la pamba limeanza kuathirika kidogo...
Nudgu yangu Ibrah,Binafsi naamini kuwa vyombo vya dola vipo kwa ajili ya kulinda umma na mali zake.sasa kwa ajili ili mradi tayari lipo mikononi mwa vyombo vya usalama kama alitabaiinisha mtendewa kwenye mahojiano na ITV,tusiwe waganga wa kienyeji kutabiri bali yeye binafsi mh.DR.slaa anaviamini...
Kama ilivyojiri leo bungeni katika kuchangia muswada wa sheria ya vyama vingi yafuatayo nimeyaona ni muhimu sana kwa ukuaji wa demokrasia ya vyama vingi hapa nchi pia kwa mustabali wa nchi yetu tuipendayo ya Tanzania.
1. Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa.
-ni vyema akawa mtu mwingine na...
Kwa kweli ni jambo linaumiza sana kuona mtoto mdogo mwenye ulemavu wa ngozi anakatwa kiungo chake na kuvuja damu hadi mauti yanamfika.kwa binadamu yeyoye ukishuhudia vitendo hivi laziam utalia au machozi yatalengalenga kwenye macho yako.
Mh. PM Ameonyesha ni jinsi gani yeye kama binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.