Economy crisis in Africa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Economy crisis in Africa...

Discussion in 'International Forum' started by Triplets, Feb 4, 2009.

 1. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  African Summit Hears Dire Economic Forecasts
  By Peter Heinlein
  Addis Ababa
  03 February 2009


  African leaders meeting in Addis Ababa, Tuesday, have heard a series of grim economic forecasts for the continent and pledges by international financial institutions to dramatically increase lending to ease the expected pain. A debate at the AU summit on the deepening financial crisis was held in an atmosphere of uncertainty about how to address it.

  Ethiopia Prime Minister Meles Zenawi, set the tone for the day's debate, predicting a continental disaster unless action is taken quickly.

  "Our economic prospects are such that unless we act, and act now and decisively, the majority of African states could become failed states over the coming decade," said Meles Zenawi. "The consequences of such an outcome are dire."

  There was little optimism in the summit hall, but there was general agreement that Africa could be the worst victim of a crisis not of its own making.

  "African countries did not create the situation that the world is having to deal with today," said Obi Ezekwesili. "However, Africa is not a far-flung continent different from the rest of the continents of the world. Therefore, it has to ultimately get the impact of the contagion effect we have seen."

  Ezekwesili told the assembled leaders that the world has changed and warned that they have to be ready to change with it.

  "It is clear we are in a new world and, therefore, the way we act and the way we respond cannot be the traditional way we have always known," she said. "Something has to change. And the people who can make the change happen for Africa are right within the room."

  But some in the audience seemed to reject Ezekwesili's advice.

  Zimbabwe's President Robert Mugabe, who has presided over the destruction of his country's once powerful economy, continues to blame Zimbabwe's woes on a campaign of Western revenge.

  "The cause of our condemnation, isolation is because my government took the necessary measures to create the conditions for equal opportunities for decolonization, for creating conditions in which our people would regain their lost resources and have access to the means of production," said Robert Mugabe. "We believe these illegal sanctions are not only unjustified and cruel, but they have led to the needless suffering and foreign-induced polarization of the people of Zimbabwe."

  Loans are not an option for Mr. Mugabe, whose country is under economic sanctions. But for most others, lending seems to be a critical short-term option. African Development Bank President Donald Kaberuka told the summit that the bank would triple its lending to the continent to help soften the blow of a crisis many fear is still in its early stages.
   
 2. Naumia

  Naumia Member

  #2
  Feb 4, 2009
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  It’s time for Africa to stop depending on so called ‘loans’ from the western world. It’s sad that out of all leaders who were at the summit and no one couldn’t come up with ways for Africa survive this financial crisis without depending on the western world to bail them out on everything.

  Why can’t we improve on agriculture, we have land for it; what about better control of our natural resources. Michezo ya kuibiwa diamond, gold, tanzanite, etc iishe. Na hao viongozi need to stop being so selfish and greedy and start thinking about the people of Africa.

  Mtaiba mpaka lini jamani, think about the future generations, what are you leaving for them????Come on African Presidents…Please do what you are suppose to do. BE INDEPENDENT AND STOP DEPENDING ON THESE SO CALLED LOANS FROM THE WESTERN WORLD.
   
 3. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe Naumia, dunia nzima viongozi wanakuna vichwa jinsi ya kujinasua kutoka kwenye hii crisis, lakini huku Africa ni kama vile tunasubiri wapate solution, halafu waendelee kutupatia misaada....wakianguka sisi ndio wa kwanza kugonga sakafu...hivi kweli tupo kwenye situation ambayo hatuwezi kubuni njia yoyote ya kuboresha uchumi wetu katika bara la Africa??? hivi hao viongozi wetu walipokutana hawakuweza kutoa angalau "suggestions" tu??

  Hapa hapa JF naamini kuna wachumi, wanasiasa na wengineo wengi ambao wanaweza kutoa mawazo yao ya nini kinaweza kufanyika au kufanyiwa majaribio hapa Africa ili kujikwamua kiuchumi, I don't believe for a second that we are so hopeless!
   
 4. inovasqo

  inovasqo Member

  #4
  Feb 6, 2009
  Joined: Dec 5, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The big issue here is selfishness kwa sababu viongozi wakuu wa nchi wanajiona tayari wana kila kitu(essentials) kwa mfano kiongozi mtoto wake akiwa anasoma uk au canada halafu anaweza kubadilisha magari leo prado kesho benz au bmw I think he can think nothing about the nation.Ni vigumu sana kwa viongozi wetu kuunza kuweka mipango inayotekelezeka miaka 20 ijayo simply because by that time atakua out of office,mi nadhani huu ni wakati wa kutafuta solution to stand on our own 2 feet rather than depending on usa and europes
   
 5. Gosheni

  Gosheni Senior Member

  #5
  Feb 6, 2009
  Joined: Oct 28, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Kwa ujumla jamaa wameshaanza kutulazimisha tujitegemee sisi wenyewe, tupende au tusipende huu ni wakati wa kuanza kujitegemea wenyewe. Jana bungeni waziri mkuu alikuwa aneleza madhara ambayo tunapata kutokana na kutegemea nyongeza kwenye bajeti yetu kutoka nje. ambapo mijamaa imekuwa ikituma misada kwa wakati wanaotaka wao sio kwa pale sisi tunihitaji hiyo misadaa kwa maana nyingine wanatuma misada wakiwa wamechelewa, hivyo hiyo misaada kupoteza uzito na wakati mwingine hutuma pungufu ya walio ahidi au wengine hawatumi kabisa hivyo bajeti tuliojipangia kutotekelezeka.

  jambo lingine wanapo tegemea watu kama world bank wao hutuma pesa kwenye miradi ambayo wao wanaona ni muhimu kwao, hata hivyo hufanya mara zote wakiwa wamechelewa.

  Tunapokuja kwenye swala kama la wakati huu ambapo wao wapo kwenye matatizo ya kiuchumi, inakuwa ni ngumu sana kwa wao kutupa hizo loan. kwa kuwa hatawao sasa hivi wanatafuta hizo loan hawapati. mfano china walikuwa ni wateja wazuri sana kwa treasury bond kwa marekani, sasa china maswala ya treasury bond hawataki kusikia kwanza wana wasiwasi na uchumi wa marekani, pili wao wenyewe wanamatatizo, hivyo kujihudumia wao wenyewe kwanza ndipo waje kwa wengine.

  Umefika wakati kwa nchi za kiafrika kujitegemea zenyewe kwani mzazi tuliekuwa tunamuangalia kama msaada kwetu wakati wa matatizo amefariki. na sasa sisi sio watoto yatima kwamba tutakwenda barabarani na kujipanga na makapo na kuanza kusema saidia saidia mimi ni yatima na masikini, tutapigwa makofi au kushangawa na tunaowaomba, watatuuliza na wewe mkubwa hivyo bado unaomba omba kwa nini wewe sio yatima tena umekuwa mtumzima. Mtu mzima akifiwa na mzazi haitwi yatima, bali zaidi ni kuwa unaanza kutazamwa kwa kuchukuwa nafasi ya mzazi ili awasaidie wengine.

  ni wakati wa nchi za afrika kuanza kusaidia wengine kiuchumi, hasa ukizingatia umri tulionao si wakuomba misaada bali ni kusaidia walio na shida. tusilie tena sisi ni yatima au ni wajane,kwani mali tulizo nazo zatosha kutufanya kutoitwa wajane wa kweli, kumbuka kuna mjane wa kweli na mjane. mjane wa kweli ni yule ambaye ni mzee na hana uwezo wa kujihudumia katika mahitaji ya msingi, ndipo mtu huitwa majane na yatima ili kupata nafasi ya kupewa misaada kwa kuwa ni muhitaji, hivyo neno yatima na mjane yapo kwa ajili ya kuishutua jamii huyu anahitaji msaada, ndio mana mwanaume aliye fiwa watu hawata mwita majne au namna ya kumwangalia haitakuwa sawa na mwanamke kwa kuwa mwanaume huwa hana uhutaji wa mambo ya msingi kama chakula mavazi, nyumba au hata shule kwa watoto.

  Ndugu zangu kwa kupitia kilimo afrika tunaweza tukaaanza kuhudumia dunia kwa chakula na marighafi zingine zitokanaz\o na kilimo. kwa kuwa muda tulionao sio mdogo. hatuwezi kujiita wanchanga tena. kilakitu tunacho, vyuo vikuu, wataalamu, na vingine vingi vya kutufanya tuendelee
   
 6. A

  AndrewMwanga Member

  #6
  Feb 6, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Governor wa BOT katika mahojiano yake na wabunge mjini DODOMA alitabainisha kuwa msukosuko wa uchumi Unatokea hivi sasa duniani hautatuasili sana kwani uchumi wa wetu haujashikamana sana na nchi zilizoendelea,ila alitotahadhari kuwa kwa exportation zone zao la pamba limeanza kuathirika kidogo.

  Ila zao la dhahabu linapanda bei hivyo wawekezaji wa nje na ndani ya nchi katika sekta hii wataimarika isipokuwa sekta ya utalii itayumba hata hivyo mchango wa sekta ya utalii kwa pato la taifa bado ulikuwa si mkubwa labda kwa muswada mpya uliopitishwa bunge hivi karibuni ukianza kufanyiwa kazi kikamilifu.

  Nakubali kwa kuwa budget yetu bado tegemezi na hao tunaowategemea wanayumba hapo napata hofu kidogo wanaweza wakaweka masharti magumu ilikupata hilo pato toka kwao kwa budget yetu.

  ni kweli umefika wakati sasa wakuanza kufikiria kuwa independent but it won't happen over night,it is a process,it need time and strong social economical strategies and political stability.
   
 7. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  pia kuwe na mikakati ya kuwaatarifu wananchi hasa wale walio vijijini nini kinachoendelea hapa duniani, this crisis will not end tomorrow or a day after, seems like it is here to stay at least for a while, watu kuwa informed tu in hatua moja muhimu katika safari ya kuanza kujitegemea

  I believe food production alone can be one of the major solutions to make Africa independent, but unfortunately it is the most neglected sector despite the facts that we have plenty of fertile land and agriculture employs mojority of Africans/Tanzanians

  I think the time has come for Africans to benefit from mining industry. It is time to think hard of how can we take advantage of the crisis and weakening west economy to reform mining industry in Africa.

  My opinion is - better do nothing and keep the gold and diamonds underground than giving it away to rich nations

  Na habari ya kuimarisha masoko ya ndani ya Africa? we have everything in this continent, what keeps us from selling and buying more from within the continent??? mnaojua masuala ya uchumi tunaomba mtusaidie
   
Loading...