MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 182
Hii haileti picha nzuri. Ni mafia mob hawa? Sasa credibility ya hawa watu naona iko chini sana, wanawatafuta raia wao wanaopigania haki?
Andrew, Nani alikwambia vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa ajili ya wananchi na kwa manufaa ya nchi?
Vinaitwa vyombo vya Dola= Vinafanya kazi za Dola= Kazi kuu ya Dola ni kuhakikisha Watawala wanashika hatamu za Uongozi kwa gharama yoyote.
RCO wa Dodoma anasema eti mpaka sasa hajakamatwa mtu yeyote kuhusiana na tukio hilo ,Ila anasema kuwa wameweza kugundua kuwa vifaa hivyo havikuwa bomu ila wameshindwa kutambua ni vifaa gani na wanavipeleka makao makuu ya jeshi kwa ajili ya kwenda kufanya utambuzi wa vifaa hivyo.
Maswali ya kujiuliza;
1.Aliyepokea wine mbona hajahojiwa ililetwa na mtu wa aina gani?
2.Aliyekuwa zamu reception jana kwenye hotel ni nani na kwa nini hajahojiwa?
3.Mwenye hoteli hajaulizwa wala kutakiwa kutoa maelezo mpaka sasa wanataka kuja kutuambia nini?
4.Hali hii inaweza kuwakumba wangapi? nani yupo salama?
Wana JF , kwa taarifa tuu ni kuwa juzi kuamkia jana kuna mtu alimpelekea chupa ya wine na kuipeleka hotelini na akajitambulisha kuwa ni ndugu yake ila hakutaka kutaja jina .
Dr.Slaa alipofika pale mapokezi akapewa huo mzigo wake na wahudumu wa hotel na alipojaribu kufikiria ni nani ambaye ni ndugu yake anayeweza kumletea wine bila hata kumjulisha akasita na akawaomba waendelee kumuhifadhia hapohapo mapokezi.
N a jana akapiogiwa simu na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha na kumwambia kuwa chumbani mwake kumewekwa vitu , japo kuna wasiwasi kuwa ni vya aina gani kwani wengine tunaweza kufikiri ni vinasa sauti tuu kumbe ni radiations za kummaliza mzee wa watu.
Hili jambo ni kubwa kuliko tunavyoweza kulifikiria na kulichukulia .
RCO wa Dodoma anasema eti mpaka sasa hajakamatwa mtu yeyote kuhusiana na tukio hilo ,Ila anasema kuwa wameweza kugundua kuwa vifaa hivyo havikuwa bomu ila wameshindwa kutambua ni vifaa gani na wanavipeleka makao makuu ya jeshi kwa ajili ya kwenda kufanya utambuzi wa vifaa hivyo.
Maswali ya kujiuliza;
1.Aliyepokea wine mbona hajahojiwa ililetwa na mtu wa aina gani?
2.Aliyekuwa zamu reception jana kwenye hotel ni nani na kwa nini hajahojiwa?
3.Mwenye hoteli hajaulizwa wala kutakiwa kutoa maelezo mpaka sasa wanataka kuja kutuambia nini?
4.Hali hii inaweza kuwakumba wangapi? nani yupo salama?
Nyie mnazunguka tu.. hivyo vifaa viliwekwa hapo ili kuua mbu! Na havikuwekwa na mtu yeyote wa dunia hii bali kikundi cha watu kutoka Sayari ya Zuhura!
TS-Market Launches Tiny New Digital Voice Recorder
B-22 Digital Voice RecorderDigital video and audio recording firm TS-Market has introduced its new B22 model, which represents both the smallest digital voice recorder in its range, and in the world.
Potential applications for the B-22 exist throughout the Security Sector - including interviewing and law enforcement requirements.
The B22 model is part of TS-Market's Edic-mini Tiny series of professional digital voice recorders. Among its unique features, besides its minute dimensions (0.024 x 1.0 x 1.24 inches) are a battery life of up to 60 hours, and an ultimate recording time of up to 300. It is both compact and, with a metallic casing, solid and durable.
The B22's operating capabilities include linear and loop recording modes, with a single or consecutive recording ability. Its data protection is assured with access and watermark protection
As for professional characteristics, this reliable digital device supports linear and loop recording modes and possesses a timer to start recording once or repeatedly, achieved through VAS (Voice Activation System) technology.
Ts-Market was created in October 2001 as an export-designated division of Telesystems Ltd, subsequently becoming independent. Its former parent company was established ten years earlier as a privately-owned scientific production group.
Vyombo vya dola vinawajibika kufanya kazi kwa ajili ya wananchi na kwa manufaa ya nchi kupitia utawala uliopo madarakani na hivyo ni jukumu lao kuhakisha na kuulinda utawala halali uliopo madarakani. Kama huo utawala hautakiwi ama una mapungufu hiyo ni kazi ya wanasiasa na wananchi kuubadilisha na kamwe sio vyombo vya dola...
Demokrasia ni gharama na kama tunataka kuwa na demokrasia yenye manufaa kwa nchi na wananchi wake na iliyo endelevu ni lazima tuwe tayari kujigharamia.....
Tanzanianjema
Mkuu,nimekusoma mara kadhaa ukikazania kuwa tungoje uchunguzi ufanyike.Kwani aliyekataa suala la uchunguzi ni nani?Naona unataka kuwaamulia watu ni nini waseme na ni lini waseme!!wakuu si vyema kumuhusisha mtu,taasisi au cham chochote cha siasa wakati sula lipo mikoni mwa vyombo vya usalama kwa uchunguzi makini.
Tusubiri tuone matokeo ya uchunguzi then utaratibu ambao nchi imejiwekea kushughulikia uhalifu kama huo utafuata.
Naamini jeshi la polisi na idara ya usalama wa taifa watalishghulikia hili kwa umakini mkubwa sana kwani lina public interest.
navihasa vyombo vya habari kutoa yale yanayotokea na hali halisi ya tukio hilo na si kukuza au kufuata ushabiki either wa kibiashara au kisiasa, wawe more than professional kwenye hili na mengineyo yanayogusa uhai wa mtu na maslahi ya taifa na wananchi wake kwa ujumla.
Mkuu kama unasoma nadharia za Uingereza au Marekani basi huku Tanzania hazifanyi kazi. Vyombo vya usalama hapa Tanzania havifanyi kazi na kuwajibika kwa wananchi. Kuna mifano 200 unayoweza kupewa kuthibitisha hilo, hebu niambie nani leo analindwa zaidi na polisi kati ya Chenge na Albino, au angalia treatment waliyopata mafisadi Keko ukilinganisha na wananchi wengine. Angalia vibaka wanawaibia kina nani na kina nani hawawezi kusogelewa na vibaka. Ukisoma kwenye vitabu au katiba unaweza kudhani hivyo lakini ukiangalia hali halisi utajua ukweli ni upi.
- Vijana tumeharibu period, hiyo dhana ya vijana ni mufilisi sasa hivi mkuu wangu, wazee wameshika maisha yetu yote, hii ilikuwa ni mara ya kwanza kujaribishwa kuaniza rais mpaka chini, sisi vijana hatuna solution ya hili taifa na matatizo yake, sasa ni kuwaachia kina Mkuchika.
Kaka nimezaliwa, nimekulia, nimelimika na hadi sasa ninaishi na kuwajibika nikiwa Tanzania.....
Hayo ni mapungufu ya mfumo na waliokatika mfumo lakini katu hayabadili nia na wajibu rasmi wa asasi za dola. Tubadili kwenye mapungufu lakini katu tusijaribu kubadili misingi rasmi ya asasi hizo.....
Pamoja na kwamba siipendi SISIM comment hiyo si halali.Dodoma ni ya vitukao.Mara uchawi mara hiki.unajuaje kama vifaa hivyo alijiwekea yeye ili kupata sympathy.After all jinsi vilivyonekana kwenye TV they don't look as a professional bug.The so called bug ni kubwa kama packet ya sigara.kuna mawili aidha yeye kaweka kupata umaarufu au amature spy ambao nadhani wale anaouwaumbua katika kashafa mbalimbali.sijui wataalam wa mambo haya wanasemajeDuh!!! Pamoja na ufisadi sasa CCM imeamua kujiongezea sifa nyingine ya umafioso!!!! Inaelekea wanamuogopa sana Dr. Slaa kwa sababu anawaendesha puta kila kukicha sasa wamempania kumrekodi maongezi yake ili wammalize kisiasa!!!
Inabidi awe 007 kila anaposafiri awe na vifaa vinavyorekodi movements zote zinazofanywa chumbani kwake ili kuwanasa wahusika na hatimaye kuwapandisha kizimbani. Si ajabu CCM wameuanza mchezo huu kwa Dr siku nyingi tu na labda kuna wengine pia wanaofanyiwa uchafu huu.