Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Kamati ya Bunge imeshindwa kujua la kufanya na Spika ameamuru kuwa watulie na hakuna kufanya lolote hadi j3, hizi ni taarifa za ndani.
That was a technical error, we've corrected.
Thanks to someone who gave me a shout.
Mmeganda ghafla! Mnasoma?
Kamati ya Bunge imeshindwa kujua la kufanya na Spika ameamuru kuwa watulie na hakuna kufanya lolote hadi j3, hizi ni taarifa za ndani.
Nadhani hapa katibu mkuu wa Waziri alikosa, huwezi kumzunguka boss wako. Kitendo cha Katibu mkuu wa waziri Masha kupata maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu kiongozi bila ya Masha kujua, ni sawa na kumzunguka.
Huyo Katibu Mkuu wa Waziri Masha anatakiwa ajieleze inakuwaje anawasiliana na Katibu Mkuu Kiongozi pasipo Waziri kuhusishwa? Na inakuwaje Katibu Mkuu Kiongozi amsikilize Katibu Mkuu wa Wizara bila kuhoji kama Waziri husika alikuwa awareness.
Something is wrong somewhere.
Wakuu hapa kazi ipo, mimi nimeona matatizo yafuatayo:-
1) uandishi wa barua siyo makini kabisa. Mhe. ni msomi (Masters holder) tena mwanasheria aliyebobea, inakuwaje aandike barua shallow hivyo! 60% ya barua ni malalamiko kutoka sagem, nilitegemea kuona kiambatanisho A, kiwe malalamiko ya sagem.
Msije mkashangaa mjomba bado anamuacha tuu katika hicho kiti na aendelaa kuboronga na kumuaibisha....mjomba anaangalia sana maslahi ya masela wake
Mbona wengine kwetu haifunguki? wee mtu usiyeonekana lete hicho kitu kwa njia nyingine basi
Masha hapa kosa lake nini? hebu tuambizane kwa mapana jamani. Katika hiyo barua, Masha kafanya nini kinachoonyesha kuwa yuko guilty? After all bado details zinahitajika hapa, hao Sagem walijuaje kama wameenguliwa kwenye mchakato? Nani anajua hili?
Kuna nini kimefichwa kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Waziri Mkuu Kiongozi? Kwa nini wanafanya mambo bila kujulisha Waziri wa Mambo ya ndani? Wamemwona, mtoto sana hivyo hawezi kuwaelekeza wazee wenye uzoefu au wanataka kumwangusha Masha kisiasa.
Hao makatibu wote wawili wamemdharau waziri Masha na wanapaswa kuwajibika/shwa regardless Masha ni Fisadi, mtoto au hawezi kazi!
Kwa lipi? hebu wekeni maneno sawa......nataka nijueNOW the CONCLUSION..........
....Lawrence MASHA HAS TO GO
Kwa lipi? hebu wekeni maneno sawa......nataka nijue
Kwa lipi? hebu wekeni maneno sawa......nataka nijue
....kuhusu CS kumuandikia barua PS.....ni jambo la kawaida......afterall......at the end of the day ni waziri ndie atakayeiwakilisha hiyo cabinet paper...........kwa hiyo hakuna kuzungukwa hapo.......
NOW the CONCLUSION..........
....Lawrence MASHA HAS TO GO
Don't tell me hujaona kosa? Mkuu hivi kosa unataka liweje? Masha anataka makampuni yaliyoondolewa kwa kukosa kukidhi vigezo yarudishwe! Wakati huo huo anakiri kuwa hana uwezo wa kuiingilia Bodi ya zabuni. Pia anasema KM wake ameridhika na uamuzi wa Bodi ila yeye hakubali. Ndo maana Katibu Mkuu Kiongozi aliagiza iandikwe taarifa ili Masha awasilishe cabinet.Masha hapa kosa lake nini? hebu tuambizane kwa mapana jamani. Katika hiyo barua, Masha kafanya nini kinachoonyesha kuwa yuko guilty? After all bado details zinahitajika hapa, hao Sagem walijuaje kama wameenguliwa kwenye mchakato? Nani anajua hili?
Hakuna kinachofichwa, Katibu Mkuu Kiongozi alimwangiza Katibu Mkuu mambo ya ndani aandike cabinet paper ambayo Waziri ataiwasilisha. Sasa kuzungukwa gani unakosema? CS ana mamlaka ya kuwaagiza PS wote, na hilo Masha amelikiri katika barua yake kwa PM. Ulitaka CS amwagize Waziri? thats impossible. CS alitaka kuleta suluhusho kati ya maamuzi ya bodi na Masha. Kumbuka bodi ilistick katika uamuzi wake na Waziri Masha naye alistick kwenye maamuzi yake. Namna ya kuondoa hiyo deadlock ilikuwa ni cabinet paper!Kuna nini kimefichwa kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Kiongozi? Kwa nini wanafanya mambo bila kumjulisha Waziri wa Mambo ya ndani? Wamemwona, mtoto sana hivyo hawezi kuwaelekeza wazee wenye uzoefu au wanataka kumwangusha Masha kisiasa?
Wamemdharau kivipi? PS wa mambo ya ndani alitekeleza maagizo ya Masha kwa kuiandikia bodi. Alipopata majibu ya bodi alimjulisha Waziri, pia akamweleza kuwa yeye ameridhika na maamuzi ya bodi. Wakati huo huo Masha akaendelea na msimamo wake. Hivyo PS akalazimika kumweleza Bossi wake yaani CS. CS akamwagiza aandike cabinet paper, ampe Masha ili aiwasilishe cabinet. sasa dharau ipi?Hao makatibu wote wawili wamemdharau waziri Masha na wanapaswa kuwajibika/shwa regardless Masha ni Fisadi, mtoto au hawezi kazi!