Fundi bomba, Plumbing & pipe fitting,s. Ninatoa huduma hii kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Maji safi na maji taka Drainage system kwa ubora wa kitaaluma na uzoefu pia sio kubahatisha.
Mfumo wa maji moto na baridi pia nafanya kwa ubora.
karibuni sana .0783-543635. //0714-924559.
Kuna clip nimeiona nimeshindwa kuelewa vizuri japo nimeelewa kiasi .Nimeona jeshi LA polisi kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Akihutubia na kuuchangamsha mkitano wa CCm.sasa lini siasa zikaendeshwa na jeshi LA polisi?
Lipo swala yani tatizo LA madereva wa mabasi makubwa .huwa wanaovertake barabarani. Kwa nguvu bila kufuata sheria yani huwa wawapo barabarani. Huona na kujisikia ya kua barabara yote ni Mali yao peke yao. Hawa madereva wa mabasi makubwa nadhani iwe hivi umeovertake kwa upuuzi wako kamata dereva...
Luna hili tatizo LA Dawasco LA kukatika kwa maji bila kutoa taarifa .Dawasco mnachotufanyia sio haki maji yanakosekana halafu hawatoi taarifa.lingine Mara nyingi. Maji hutoka yakiwa machafu tatizo nini wakati Ankara za maji tunalipa kama kawaida mnatukera mno.
Kuna mjadala nimeusikia kutoka kwenye radio kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana wa elimu ya juu. Watanzania wengi hukimbilia kusema wajiajiri.Mimi mawazo yangu , nikianza na serikali ingefanya hivi, wale watumishi wanaostaafu kila mwaka nafasi zao wachukue hao vijana kulingana na walichosomea...
Kwa huzuni kabisa tuna hawa ndg zetu waliokua watumishi wa umma kabla hawajasitishiwa ajira na mishahara pia.hawa watumishi waliajiriwa na serikali hihii ya CCM. Kwa vigezo na sifa zote ,kwani wasingekua na hizo sifa wasingeajiriwa .waliajiriwa wakadhibitishwa kazini uwepo wao na barua ya ajira...
Yatuhusu wafanyakazi wa shirika LA elimu kibaha .kwa kweli yapo matatizo mengi kwa baadhi ya watumishi wa shirika hili tunaanza unapochukua likizo yako ya kawaida ndani ya mwaka huo yani siku 28 kama unastahili kulipwa hiyo hela ya likizo hupewi kwa wakati.mfano utaenda likizo bila kupewa hiyo...
Maneno ya Dr bashiru ni ya ajabu kwani kuna kila dalili kurudi katika maisha ya ujamaa kama ilivyokua katika utawala was ml nyerere ndiko tunakorudi ni mbaya sana tunapotezwa badala ya kusonga mbele tunarudi nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue Mimi namshangaa sana spika sijui kwa nini jambo dogo sana halina mashiko lakini kalivalia njuga mno hili neno hata mashulleni hutumika sana sasa sielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala LA spika ndugai kutaja deni analodaiwa mbunge lema sio vizuri. Kwani hayo ni personal issues utamwanikaje hadharani ? Are u a banker man! It is not fear.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tangu mwanzo kauli ya CAG sikuona kosa lake hata kidogo tatizo LA nchii hii watu wengi viongozi hawataki kuambiwa ukweli na hii ndio tabia sugu ya nchi yetu watu wanapenda sana ufalme na uungu MTU. Kunyenyekewa kiutumwa na kupenda sana hii ndio mzee kila jambo liwe baya ndio.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.