Habarini wakuu

Habarini wakuu

Ambase

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
562
Reaction score
479
Lipo swala yani tatizo LA madereva wa mabasi makubwa .huwa wanaovertake barabarani. Kwa nguvu bila kufuata sheria yani huwa wawapo barabarani. Huona na kujisikia ya kua barabara yote ni Mali yao peke yao. Hawa madereva wa mabasi makubwa nadhani iwe hivi umeovertake kwa upuuzi wako kamata dereva nyang'anya lesen akaendeshe guta.maana hawa jamaa ni washenzi mno ajali nyingi 85% ni majivuno ya barabaran na ujeuri wa kishamba.
 
Back
Top Bottom