Tatizo la kukatika maji bila kutoa taarifa

Tatizo la kukatika maji bila kutoa taarifa

Ambase

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
562
Reaction score
480
Luna hili tatizo LA Dawasco LA kukatika kwa maji bila kutoa taarifa .Dawasco mnachotufanyia sio haki maji yanakosekana halafu hawatoi taarifa.lingine Mara nyingi. Maji hutoka yakiwa machafu tatizo nini wakati Ankara za maji tunalipa kama kawaida mnatukera mno.
 
Bongo kila sekta ni kichomi..yani ni tabutabu tabu,,
Watu washamaliza kufanya utafiti duniani wameamishia utafiti angani sisi bado tunahangaika na maji ya kuoga,
 
Back
Top Bottom