Habarini wakuu

Ambase

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
562
479
Kuna clip nimeiona nimeshindwa kuelewa vizuri japo nimeelewa kiasi .Nimeona jeshi LA polisi kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Akihutubia na kuuchangamsha mkitano wa CCm.sasa lini siasa zikaendeshwa na jeshi LA polisi?
 
Hutakiwi kushanga mambo haya chini ya utawala wa kijani
Hii mbona cha mtoto umesahau ile ya m.nduli

Ova
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom