Lara, 'the haves and have nots', baada ya Nadya kutoboa, mahusiano yake na Vivi yameishiaje? Dr wa Moscow je? Kama umekata njiani vile fanani, hadhira yako haikuelewi ujue
Kuna binti anaitwa Imakulata moshi, ni TO ila hazungumzi, nadhan itapendeza mkipita kuona aliyoyafanya huko kwa madiba hapa imaculate.github.io. Kwa sasa nadhan yupo microsoft as developer
Kama nakumbuka vema, kihombo alianzia tanga tech akahamia tosa. Msuli wake mwingi alipigia mzumbe tosa alikuwa anabipu. kwa upande mwengine inawezekana kukaa mzumbeni ndo kulimbeba. Alinifunza topic ya Heat form five.
Kama nimeelewa vema desa, demand inapokuwa kubwa mzalishaji anaongeza uzalishaji pia, hivo kama alivosema mdau wa dodoma, vile supply ya mayai ya kisasa ni kubwa na demand yake itaendelea kuwa kubwa tofauti na mayai ya kienyeji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni admit, nilijifunza form 2 kwenye kilimo hii kitu juu juu leo nmerudi kuangalia tena, kuna vingine sikufundishwa, uko sahihi kwa statement yako, 'law of supply' sikuwahi ijua kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo barua nakumbuka kuziona katika hesabu darasa la saba. Matumizi yake sina uhakika yalikuwa lini ila nahisi awamu ya kwanza au ya pili ya uraisi tanzania
Jana oilcom ubungo wamenidukua, hii mara ya tatu sasa. Mashine yao inasoma kiasi nilicholipia ila mpaka nafika mjini gauge bado iko chini. Leo nmeenda shekilango Total kiasi kile kile cha jana gauge fasta imefika nusu. Sidhani ka nitakuwa na biashara na hawa jamaa tena.
Omba mods warekebisha na title, nimeona katika maelezo yako umebadili kuwa James. Ulitupa taharuki wengine kwa sabu huyo mshikaji (John) tunamfahamu na hiyo haikuwa picha yake, rejea post ya MALCOM LUMUMBA #9
Lara1 kama wasomaji wengi walivosema, ni kama story umeifupisha, KLM ni mkali, pole yake Baba Melissa ingawa ametoa darasa zuri zaidi naweza dhani kuliko wahusika wengine. Lakini, nilikuwa namsubiria sana mme wa kwanza wa Anny, ni kama kulikuwa na kitu afu hujakizungumzia, tulimuacha anamsubiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.