Huyu James Mfugale anaetafutwa mitandaoni kafanyaje?

d436d39b6d30e5c6ffa871ae4cab20ba.jpg

2932cfd9242b29544d364ced7a110746.jpg
 
Hata huyu faru john ukiambiwa sio katili kwa ile sura yake unaweza ukakataa.
 
Mkuu, mbona hyo RB ni ya 2010, ndo ulikuwa unafungua mwaka nini? Maana hata jina sio la uliyemtaja katika kichwa cha uzi wako.
RB IN EXP DATE? MPWA
NILISHAREKEBISHA JINA LONG TTM KWENYE UZI... HII RB NA PICHA ZINAZUNGUKA WHATSU GRP NDIO MAANA TUKAULIZA
 
RB IN EXP DATE? MPWA
NILISHAREKEBISHA JINA LONG TTM KWENYE UZI... HII RB NA PICHA ZINAZUNGUKA WHATSU GRP NDIO MAANA TUKAULIZA

Omba mods warekebisha na title, nimeona katika maelezo yako umebadili kuwa James. Ulitupa taharuki wengine kwa sabu huyo mshikaji (John) tunamfahamu na hiyo haikuwa picha yake, rejea post ya MALCOM LUMUMBA #9
 
[HASHTAG]#mod[/HASHTAG] pls change John to james
 
Back
Top Bottom