bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Kiukweli Inakera sana kila kukicha gharama zao zimepanda badala ya kuwasaidia wananchi zimekua kama kampuni za kinyonyaji sio vizuri kabsa.
Zamani tulitumia barua za maneno kumi ila tuishi tena kwa Amani sana, mjue kwamba watu wanaotumia huduma zenu ni Watanzania wenye maisha ya kawaida kbsa mpe apate mshahara wake au auze mazao yake ndo ajibane hapo anunue kavocha ka Mia tano,
Kavocha ka mia tano siku hizi hata nyimbo mbili au kitabu hupakui,tuwe fair na mtambue kwamba na sisi ni Watanzania wenzenu shida zako shida zangu.
Nawasilisha.