STADO Mzizima Rally

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,224
Mwezi huu kuna burudani kubwa tena kwa wapenzi wa mchezo wa mbio za magari. Tar 20&21 Dar na Pwani kutakuwa na mashindano ya magari ...
FB_IMG_1495034929692.jpg
FB_IMG_1495034926698.jpg


Unprovisional Entry List
1. Ahmed Huwell na Misam Fazal Ford Fiesta pronto
2. Davis Mosha na Aron John Subaru Impreza
3. Sameer Nahled na Raheem Suleiman Subaru Impreza
4. Dharam Pandya na Awadh Bafazail Mistubishi Evo 9
5. Randeep Singh na Zubeir Piredina Mistubishi Evo 9
6. Harinder Singh na Moses Matovu Subaru Impreza
7. Erfan Aladin na Prahab Singh Bhatt Mistubishi Evo 9
8. Jamil Khalid Khan na TBA Mistubishi Evo 10
9. Naem Zakaria na TBA Mistubishi Evo 9
10. Nadeem Zakaria na TBA Mistubishi Evo 7
11. Ashu Barbosa na TBA Subaru Impreza
12. Isaac Taylor na Neema Lyimo BMW
13. Mbatta na TBA Toyota Celica
14. Saleem Hajj na TBA Mistubishi Evo 7
15. Faisali Nayan na Veerdaba Subaru Impreza
16. Frank Taylor na TBA Nissan Silvia

STADO MMSC RALLY 201-PROGRAMME

05th May Publishing of the Supplementary Regulations
Opening date of entries

05th May Rally HQ opening from 11:00 at Upanga mindu
street

Official Notice Board at HQ
16th May Issuing of the road book, map and time card at
Southern Sun hotel Rally HQ

17th May Closing date of Normal entries 17th .5.2017

18th May Closing date of Late entries 18th .5.2017

19th May Publication of provisional entry list 19th .5.2017

19th May Administrative checks and Collection of material
and documents at Rally HQ-Southern Sun
hotel

Southern Sun Collection and installation of rally
safety tracking systems at Rally HQ Southern
Sun Hotel

17-18th May Reconnaissance, 06h00 to 18h00

19th May installing tracking devices at Southern Sun from
1000h-1800h

20st May Scrutineering at PATEL GROUNDS Opp AAR
HOSPITAL posta branch, 08h00 to 11h30

First Stewards’ meeting at Rally Hq, Southern Sun Hotel 12h00
Publication of start list for Leg1 after first stewards’ meeting, 12h30
Driver’s Briefing at HQ, 12h45
Ceremonial start at Southern Sun 13h00

Gerald Miller "Babu" undistiputed champion hayuko sasa ni zamu yao kuonyeshana umwamba... Dharam Pandya na Jamil Khan mmoja wao anaweza kuwa bingwa japo wategemee ushindani mkali toka kwa Ahmed Huwell, wengi naona ni wageni ila Davis Mosha, Isaac na Frank Taylor watatoa ushindani mkali sana kwa hao watatu hapo juu anyway ni mawazo yangu tu
Pia Tufail hatakuwepo

Updates
Confirmed Gerrard Miller na Peter Fox Mistubishi Evo 9 watashiriki
c4e2568a3607b8b5cd6fc504edac2e63.jpg
 
Capt.Maluwe.....kwa kutumia vile vijindenge virukavyo bila rubani kwa kupiga picha unaweza tuletea hii event live kwenye baadhi ya sections.
 
Kesho wrc watu wanafanya yao rallyportugal, tuone kama Neuville atachukua ushindi wa tatu au ogier atarudi kwenye viwango
 
Unauhakika na ukisemacho?
Gerard miller yupo na atashiriki
Soma updates in Unprovisional list he was a sweeper and Tufail was 00 but ilchange soma provisional list hpo juu nmemuweka
 
Back
Top Bottom