Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Wadau... Em mnielekeze jinsi ya kum-subscribe huyu mtu. Nsije nkapitwa na utamu wa wirking class bureeeee... Nielekezeni tafadhali
 
Nimesoma hizi story unazotupatia "bure*2" yaani ni MB zetu tu.

Hongera kwa kipaji ulichojaaliwa Lara1. Unastahili pongezi.

Wengi wanashauri utengeneze hela, kupitia hizi story ila hatujafahamu umelenga nini na wapi. Binafsi naweza kusema, hii yaweza kuwa ni kazi yako ila kutawala hapa Jf na stori tamu yawezakuwa ni kujifurahisha. Fantasy tu, kama wengine tunavyotoka makazini na kwenda kucheza mpira au draft.

Safi sana.
 
Asante kwa taarifa, nipo naisubir, bado dk 69 ifike saa 3 kamil, hahahaha!
 
Mi mangi kanifurahisha sana jamani yan alivyopata ushindi wa mezani akasahau mechi tatu alizokimbia...vi status sasa hahahhaaa eti kiboko ya anny.
KLM nimempenda bure...aggy anauvumilivu jamani duh.lakini ametufundisha mvumilivu ula mbivu.
 
lara 1 salute ! mi lady
  • 🙂
  • 🙂
  • 🙂
u r trully gifted!
uzi nimeukalia tangu jana usiku na nikatoboza nao! mama chanja alipoona sirudi kitandani akahamia tukaanza upya and we ended it with lotz of steamy yummy yummy yeaaaaaaahz!

🙂🙂🙂🙂🙂

simply its one of the best pieces of art I'v enjoyed with vivid imagination!
Tanto grazzi lara 1 ...........keep it up
 
lara 1 salute ! mi lady
  • 🙂
  • 🙂
  • 🙂
u r trully gifted!
uzi nimeukalia tangu jana usiku na nikatoboza nao! mama chanja alipoona sirudi kitandani akahamia tukaanza upya and we ended it with lotz of steamy yummy yummy yeaaaaaaahz!

🙂🙂🙂🙂🙂

simply its one of the best pieces of art I'v enjoyed with vivid imagination!
Tanto grazzi lara 1 ...........keep it up[/QUOT

Kuna mpya wa the working class nimeuanza janaaa, usome pia
 
mkuu lara 1 misaidie link na pia nazipataje hadithi zilizopostiwa hapa nimegundua kuna nyingi sikuwahi kuziona
 
Kwa sasa Niki addicted Na Isidingo Na Lara1.....Na kwakuwa Lara Ni wa nyumbani uzalendo kwanza basi lara1 then Isidingo. Ni kweli tunakusifu kwa maneno tupu ila tambua kuwa umeshaandikiwa thawabu mbinguni.
 
Lara1 kama wasomaji wengi walivosema, ni kama story umeifupisha, KLM ni mkali, pole yake Baba Melissa ingawa ametoa darasa zuri zaidi naweza dhani kuliko wahusika wengine. Lakini, nilikuwa namsubiria sana mme wa kwanza wa Anny, ni kama kulikuwa na kitu afu hujakizungumzia, tulimuacha anamsubiria Anny akiamini siku za usoni angemrudia. Mpaka story inakwisha haujamzungumzia hatma yake.

Unaweka uhalisia kwa kiasi kikubwa na kuna mdau kakupongeza katika hilo, ila mwishoni katika ndoa ya KLM, ulisema mimba ikiwa na miezi 3 kaenda toa mahali akitaka ndoa iwe kabla ya miezi mitano, akaenda andikisha ndoa parokiani ( inaonyesha alikuwa mkatoliki), kwa mazingira ya Dar hilo haliwezekani, ndoa si chini ya miezi mitatu hivo naona kabisaa kuna vitu umefupisha story iishe mapema.Yote kwa yote, story imeenda poa. Btw tupo pamoja kwa Working Class...
 
Nilimpiga marufuku wife kujoin Jf aishie huko huko Instagram kwenye umbea mbea wao maana nikaogopa Jf watu wanavyojua kuomba na kubembeleza papuchi isijekuwa tabu kwangu bule,
Baada ya hizi stori zako Lara 1 ,Lara moko,Lara 1 kubwa la maadui dada la dada imenibidi nimruhusu wife aingie Jf asome hizi dram zako maana zinafundusha
 
  1. ........Mangi ndo kumsimulia anakula paleee lakini roho inamuuma sanaa, maana huko uchagani alipata sanaa shidaaa, mpaka kuna kipindi ikabidi awe anabana maviii, ili asisikie njaaaa! Hahahaaaaaaaa!............
daaaa ha ha lara 1 we nyok... nimecheka sana hapo.......nilikosa vingi ndo namalizia viporo.....
 
Back
Top Bottom