Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

JAMANI MSILALE NATUPIA GRAND FINALE!

Nimechokaaa leo na summarise tunamaliza mchezooo. Team popo mjiandae kuona mwisho
Lara umestopisha game za watu huku zisiendelee ujue ,hebu amsha dude. Watu wa rudi uwanjan
 
Baada ya kurudiana na Nadya this time akiwa na akili zake timamu, i could swear i was the happiest man on earth. Ukiacha vita ya wenyewe kwa wenyewe na mzee i was happy. So happy mpaka naona the sun shine is brighter! The world is more beautiful.

All i wanted was to spend the rest of my life with her. Isingekuwa mzee mkorofi nilitaka kumuoa fasta fasta. Sasa unaoaje bila ridhaa ya mzee? Tukawa tnaparangana anafosi nimuoe Celine official hata nikiwa na Nadya pembeni sio tatizo, Celine will understand and accept it.

Jamani ndugu msomaji niliwaambia mara ngapi Nadya nina mipango nae mikubwaa? Nisingeweza kumfanya nyumba ndogo. Na sikupanga kumnyanyasa kwa lolote. I wanted her to be the happiest woman on earth. Ni mwendo wa kumenziii tuuuu mwanzo mwisho. Malkia wanguu!

Even in bed we solved our differences. Akaacha kunisimangaa, na kuni pressurize. Now we had sex like normal people. And we enjoyed it. Kweli nilikuwa namfikishaa mpaka kuna mda anakuwa kalagea kama anataka kuzimaa. Sometimes nikimiss mambo yale ya twerking namwambiaa leo tunafanya mambo yalee! Eti anaona aibuuu. Na mambo ya BJ pia yamooo yamooo kishkaji tu ndugu msomajiii.

Sahivi ndo tulikuwa tunapendanaa, we go out together, she claims me as his man, i claim her as my woman. Tulipendanaa ndugu msomajiii. Likaja balaa la mzee kuchukuliwa kupelekwa kizuiani, kwa mambo ya kuhujumu uchumiii. Nikabaki mwenyewe natakiwa ni run company.

Mnajua mi mpole, people abused my trust, kama kwenye micrifinance wale ma director waliiba pesa nyingii mpaka ikawa tunatakiwa tufunge hatufikii reserve za BOT. Bado legal issues za TRA. Mabalaa juu ya mabalaa! Bado hapo namtafuta mzee.

Nikamfata baba Celine akaniambia Leo, mzee harudi tena stand on your own. Nilivurugwaa. Nashukuruuu na ndo niliona thamani ya kuwa na mke. Atleast unajua yuko mtu anae jali what is happening to you. Mtu wa kukuliwazaa na kukupa moyo. Just the feeling mpo wawili kidogo inakupa nguvu kukabiliana na matatizo yako.

Namsimulia mambo ya kazini, watu wanavonifanyia vibayaaa. Nikakimbilia kuomba msaada kwa Celine akanishauri kwamba kumanage siweziii, it takes years of training and practise. Best options niuzee mali zote za mzee na kufanya nitakacho amua. Akasema yeye atanunua hoteli, ambayo inadaiwa ma million ya kodi so atainunua kwa pesa ndogo tu. On the bright side haitafungwa itaendelea ku operate. Na atanitafutia wateja wengine. Nikaona sawa tu.

Nikamwambia Nadya, akasema hapanaa hamna kuuza chochote. Namwambia tumsikize Celine she knows hizi vitu. Akasema hapana we have options. I should start trusting her more. Nikamuuliza wife tufanyajeee? Mi nimechanganyikiwa. Akasema tuta solve kimoja baada ya kingine.

Chenye hali mbaya sanaa ni Microfinance. Akashauri tupost online kwamba tunatafuta partners katika economic forum ya SADC. Kama utani tukapata partner microfinance ya Botswana. Tuka wauzia hisa 60% mimi na mzee 35% na Nadya 5%. Operations kila kitu waooo. Sisi gawio tu, wakatupa na lumpsum nje ya kubail out reserve na ku reinvest capital.

Celine kusikia akaja na mkataba wa mauziano ya hotel. Mkataba mbovu. Nikamwambia mpe Nadya ausome. Akakataaa. Celine alipanic leo hotel haina thamani mi nainunua kukustiri old time friend, utaikumbuka hii pesa. Hutoipata tena. Nadya akasema hamanaaa. Kiukweli hotel ukiacha kodi, ilitakiwa renovations kubwa sanaa, na operating cost zake ni kubwaa mnoo. Na watu baada ya mzee kubebwa waliacha acha. Nadya akasema hapa hakuna namna kumuajiri mzungu tu. Pesa ya Micro finance tunaiweka huku ila cha maana management kwanza ikae vizuriii.

Tukatangaza kazi ya GM, South africa. Budget ilibana. Tukapata mzungu anataka mshara wa $7000 kwa mwezi, bado nyumba ambazo tunazo so tulimpa tu, gari tulimpa. Mimi nikaona kama upotevuuu. Akasema atatuzalishia zaidii give him yime. Renovations tikachukua kampunk china walitupa cost ndogo sanaa! In no time business ikaka safiii kabisaa. Mzungu mzungu asikwambie mtu. Hamna haja ya kumfata nyuma nyuma. Anareport safiii nanpesa unaiona bank. Tukakubaliana na TRA tulipe lile deni kwa awamu. Akaanza kulilipa na faida inapatikana.

Magari ilikiwa ishu kubwa sanaa. Mwenyewe Nadya akaongea na kampuni za zambia, Congo, tukawa partners badala ya kukodi tunawafanyia leasing baada ya mda gari zinakiwa zao. Wengi waliikubali hio concept. Wakatupa contract za kudumuu ili baada ya miaka kadhaa gari zinakuwa zao. Kwa hesabu za Nadya huo mda unatosha kurudisha magari ma 3 na faida juu.

In short Nadya yuko vizuriii sanaa! Shule akalikodisha kanisaa mkataba wa miaka 30. Tunapata pesa yetu safiii bila kumanage manage wanafunzi. Yuko vizuriii sanaaa. Kidogo dhoruba ikapitaaa. Nikawa namuhangaikia mzee. Alinisaidia sanaa kupita njia za panya. Tulimwaga helaa tulimwaga helaaa. Ikafikia hatopelekwa mahakamani ila kwenye list ya mkuu ni top top so atakaa tu huko kizuiani mpaka mkuu akipoa kidogo. Ila kwa sasa haina jinsi.

Mungu mkubwa Nadya akawa mjamzitooo. Na hali ilivo anapiga kazi hivo hivo. Baada ya mambo kutulia akasema hali nchini si shwariii. Pesa hamnaa! Kwanini tusihamie USA, then tukaanza kuinvest in global markets capital yetu. Ikiwa kubwa tunatoa tuna invest nchi zingine zinazokua kiuchumi kama Rwanda, Namibia, Kenya, Uganda. Tz pesa hakunaa tenaaa. Haina haja kukomaa hapa hapa. Na ili haya yasitokee tuhamie tu marekani tuwe raia wa marekani basi, our money will be safe. Nikakubaliana na mama kijacho.

Tukatafuta vyuo vya kuzugia, tukapata admission na student visa za kuishi land of the free. Mimi nilienda kusomea Theology and Bible. Nadya alienda kusomea marketing. Akaenda kwao kujifungua kwanza, niliona kama mwaka huo mwezi. Nikamfata huko huko. Mungu mkubwa tukapata mtoto wa kike. Nilikapendaa sana. Nikakaita jina la Mama yangu.

Kabla hatujaondoka kwenda USA sasa, akasema kuna mahali inabidi twende kwa ndugu zake, na mtoto. Nikakubali. Mtwara huko porini karibia na msumbijiii. Poriniiii nikaanza kupata mashaka. Tukafika nyumba moja ian ulinzi mkali sanaa. Akajieleza tukaingia, akaletwa mzee. Alitia imani sanaa. Sanaa. Nililiaaa. Sio mzee unamjuaa. Alitia imaniii. Sikuweza kuongeaa lolote.

Nadya akampa kwanza mjukuu amuonee. Aliliaaa mzee. Akamwambia mimi naondoka na mwanangu. Akazidi kulia. Akamwambia na Leo tunaondoka nae. Akatoa peni. Hio pen naijua ni ya mzee na ni favourite pen yake. Akampa. Akamwambia WRITE YOUR SON AND GRANDAUGHTER LETTERS. Mzee akaipokea kwa uchungu sanaa sanaa. Tukaaga na kuondoka. Jumamosi tutakuwa kwa Trump!

THE END.
 
Lara, 'the haves and have nots', baada ya Nadya kutoboa, mahusiano yake na Vivi yameishiaje? Dr wa Moscow je? Kama umekata njiani vile fanani, hadhira yako haikuelewi ujue
 
Utaniii huu lara1....... Mbonaa kama haijaisha vileeeeeeee........ Endeleaaa kidogo tuuuu
 
hahahahahahahaaa.... kaona hadhira mnazingua zingua anawashushia tu ma episode halafu hela ata ya maziwa hamtumi!! ndo mana kaamua kuwachinjia baharini halafu kamute kimyaaaaa!! Ila lara 1 sio vizuri ivo ujue.... Am so bad with compliments but your stories turn grey to white because they are only shits that make me login here most of the time and gotta my eyeball on it.. but that's wrap!!? no way... lets get back to work
 
Back
Top Bottom