Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Php haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko

Yap ndio maana nikasema ni most popular hapa bongo kufanya Web development cause, most wep Apps huku ni CRUD
 
Php haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko

You can bro, as a backend service that receives web requests from your app.
That says you can build a whatsapp like app with PHP combined with other modules.
 
Hakuna wabunifu hapa Tanzania ndiyo sababu kuu kila mtu anataka kutengeneza apps kwa mfumo ule ule hakuna wa kubuni tofauti.
Mkuu kama hujaelewa mada ni bora ungekaa kimya tu, ubunifu na programming language ni wapi na wapi? Kwenye programming kuchagua language ya kutumia haihitaji ubunifu
 
mbona kwenye mada za tech mara nyingi mtu akiwasema nyinyi developers huwa unakuja juu bila kutoa majibu sahihi?
mtoa mada kasema kuwa kweli tovuti nyingi za tanzania wabunifu wake wametumia php kwa sana na akauliza kwanini hamtumii language nyingine....
wewe ulitakiwa umjibu kuwa hatutumii hizo nyingine sababu 1,2,3.....
Kwani hapo kamjibu mtoa mada?
 
Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Habari wana JF!

Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza kutumia kama...

Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM

Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla

Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg

Na nyingine nyingi tu!!

JF imetengenezwa kwa php, websites zote za serikali zote zimetengenezwa kwa php n.k.

Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!

Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??
Yan in short jua kwamba kutumia language flan...inategemea na requirements za system ambayo anatakiwa a develop ...yan swali lako ni sawa na kuuliza kwann mtu akitoka ubungo kwenda mbagala anapanda daladala na asipande ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kwann serikali inapenda kutumia c# na java?

Nafikiri kuna Non PHP websites Tanzania ambazo zimekua Open kufunguliwa kwa end users!
Na hizi zilishawai kuwekwa hapa!

1. TTCL website yake ni ASP.NET
2. TTCL service portal ni Java Servlet
3. Tigo Recharge Portal ASP.NET
4. Vodacom recharge portal ni JSP pia
5. TRA Motor vehicle Tax valuation ni ASP.NET
6....... n.k

hizo ni chache ambazo labda mimi nimekutana nazo na nirahisi ku deduce kutoka kwa nje!
Kwa hiyo observation unaweza ona kuwa web systems nyingi Tanzania zipo kwenye Java na C#

Hizo za serikali unazosema ni PHP labda ni kutoka na age na developers wameamua ku maintain lugha ilotumika mwanzo!

Tukija kwa individual Level PHP is cheap to deploy online unaweza jifunza hizo Djngo sijui vitu gani na ukashindwa au ukahangaika kui deploy online.
Ila a simple google search utapata Host kibao wa PHP na the like.

Nafikiri tusiwe taken up na hizo quotes za hao jamaa kuna reason(S) tuangalie uhalisia wa hapa kwetu!
 
Php haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko
Umesema haina uwezo wa kunandleb mult-billion sever request

Kwa maana hiyo facebook huo uwezo haina maana php imetumika pale
 
Php haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki huko
Kwa maana hiyo unaposema php sio mzuri sana kunandle mult-billion sever request

Kwa hiyo Facebook haina uwezo huo maana Php imetumika pale
 
Unatengeneza nini na itatumikaje? Hicho ndio cha muhimu language yeyote utakayoitumia na ikatoa app vizuri kama ulivyoplan hio ndio the best...kumbuka hakuna bad language.. Ni unataka kutengeneza nin?
My rake: wanafunzi wengi wa Tz ( nikiwemo) tunadhani kujua language nying ndio ungangari na ndio uprogrammer...hapana, kuwa na idea nzuri ya project unayotaka kuifanya na utagundua huitaji kujua language nyingi unaitaji kujua VIZURI moja au mbili...mfano binafsi toka nianze kujihusisha na MCU C/C++ inafanya yote na very powerful unatengeneza mpk GUI nzuri kabisa...ushauri wangu ni angalia project unayoona itakutoa kimaisha alafu fanyia kazi
 
Kwa maana hiyo unaposema php sio mzuri sana kunandle mult-billion sever request

Kwa hiyo Facebook haina uwezo huo maana Php imetumika pale
Nnavyojua fb kwenye server zao hawatumii php tu.... Kuna c++, hack, java etc

Kumbuka fb ilianzishwa mwaka 2005 au 2004 by then django, RoR, node js hazikuwepo... Wenda fb ingeanzishwa miaka ya karibun isingegusa php...
 
Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Habari wana JF!

Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza kutumia kama...

Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM

Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla

Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg

Na nyingine nyingi tu!!

JF imetengenezwa kwa php, websites zote za serikali zote zimetengenezwa kwa php n.k.

Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!

Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??
Kama Jamii forums nayo inatumia PHP basi PHP ni mzuri sana!!
 
Back
Top Bottom