Recent content by alifaa

  1. alifaa

    Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

    Kwa hiyo Africa kwetu hakuna akilieee ndo maana sipendagi ngozi nyeupe !
  2. alifaa

    Makonda: Niliwatumia watu kupata degree yangu

    Nahisi kama vile maneno yake yamenifunza Jambo ktk maisha yangu!Dah ngoja nikae kimya malumbano yaendelee tuone mshindi ni nani!
  3. alifaa

    Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

    Dah jf now is as fb so sijui tutapata habari wapi zilizo na hekima adabu,za kijamii na kitamaduni ktk social media tena!
  4. alifaa

    Arusha: Hashimu Rungwe pamoja na wabunge wamemtembelea Godbless Lema Mahabusu Kisongo

    Hivi nimesahau alihukumiwa kwa kosa lipi maana ni kitambo!
  5. alifaa

    Sirro: Marufuku bodaboda baada ya saa 6 usiku

    Tutaona mengi miaka hii ya kizazi cha platinum!!
  6. alifaa

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Nionavyo angekaribishwa kimya kimya ingekaa vizuri zaidi kwani kumtangaza sana itakuwa deal Kwanza yake mwenyewe kujimarisha kisiasa pili upande wa pili utaonekana kumbe mtu akifanya maovu sehemu ya jukimbilia ipo na ni Chadema ..Ni mtizamo wangu tuu!!
  7. alifaa

    Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. alifaa

    Rais Mugabe asema atagombea urais hata akiwa marehemu

    Mbona kama hawezi kutembea kashikiliwa na wasaidizi wake ina maana Zimbabwe haina wasomi wa kumpokea huyo mzee
  9. alifaa

    UKATA: Lunch time Hotel ya Ubungo hostel yafungwa

    Ila na mikopo bank nayo inahusika ...
  10. alifaa

    Ijue historia ya Chifu Mkwawa (Sehemu ya kwanza)

    Dah nzuri ila gupi sana mtumalizie hiyo story!Pamoja na hayo wale wenye historia za machifu wengine pia watujuze itakaa njema zaidi
  11. alifaa

    Ujumbe kwa Pengo: Kanisa Katoliki kutokubatiza watoto wa nje ya ndoa hauwatendei haki kiimani

    Mwenye afya haitaji tabibu Bali alie mgonjwa sikuja kuwaokoa walio na haki Bali wenye dhambi! Hako ka_topic naona wamekasahau!
  12. alifaa

    TANZIA: Kiungo wa zamani mahiri wa Dar Young Africa, Godfrey Bonny afariki dunia

    R I P kijana nimekukumbuka enzi za marcio maximo ulivyokuwa ukiiunganisha stars
  13. alifaa

    Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

    Kwa hapa acha nimpongeza prime minister wetu kaliangalia vema hili swala maana lilikuwa halijakaa vema kabisa!
Back
Top Bottom