atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,814
Mhhh! Hii inshu ya Wema kuhamia Chadema kwa mbwembwe itamcost wallah,nan asiyejua kuwa hii mhimili mitatu ya nchi kwa ss inaingiliwa kiutendaji?,ni suala la baba Jescah tu kutoa maagizo na mahakimu wakatekeleza maagizo ya mkubwa,kwa hiyo msishangae siku ya hukumu lolote linaweza kutokea kwa Wema ili kumkomoa,Mara amekula miezi yake sita kiutani tuu !