Mods huu mjadala unapoteza muelekeo, ni vyema mkachukua hatua kama inawezekana...Nina degree zaidi ya moja.pumbavuu zenu nyiee wakati wazee wetu wanatusomesha..baba zenu walikuwa wanakata viuno.
Mtakuwa ma house boy hadi yesu aje..vufutu nyie
Na hv serkali wameanza kuchokoza mifereji (madawa kulevyo) ya pesaNimepita hapo ubungo maeneo ya hostel ile hotel yetu maarufu ya lunch time..naona sasa imefungwa..na inanyewa na njiwa tu.
Zaidi naona chini kuna kijishule cha udereva....haha na bado...kufikia July tutajua Nani mzawa wa dar na Nani wa kuja!!mtarudi tu kwenye mikoa yenu..msio na nyumba mjini.
Hadi July tutajua Nani karudi mkoa na Nani kinga'anganizi.
Sasa Dar kuna Wahaya?? Usifurahi juu Yangu Ee adui Yangu, niangupo Mimi nitasimama tena!!! Tena Ayubu akasema, Najua ya kuwa Mtetezi wangu yu Hai na kwamba atasimama na kunitetea, na baada ya ngozi Yangu kuharibiwa hivi...lakini pasipo mwili nitamuona....!!!Lunch time kaka.land mark IPO kituo cha riverside..lunch time IPO the next kituo..kwa wale wanaotumiaga daladala..(mimi mhaya bwana naenda ..Rush)
Mkuu, hapa nimewaza kodi yangu ikiisha naenda kukaa Chanika chumba cha elfu kumi, toka kwenye hii apartment ninayolipia laki tano... Tangu nifanye maamuzi hayo sasa napata usingizi. Maana kwa mwaka mzima ikifika kodi inaisha mpaka napata vidonda vya tumbo, ila kwa sasa nimeamua kung'oa nanga mjini....Nimepita hapo ubungo maeneo ya hostel ile hotel yetu maarufu ya lunch time..naona sasa imefungwa..na inanyewa na njiwa tu.
Zaidi naona chini kuna kijishule cha udereva....haha na bado...kufikia July tutajua Nani mzawa wa dar na Nani wa kuja!!mtarudi tu kwenye mikoa yenu..msio na nyumba mjini.
Hadi July tutajua Nani karudi mkoa na Nani kinga'anganizi.
Aisee kwa hiyo matombo ndiyo kwa walugaluga Na una ki degree kimoja tu umeshakuwa Na dharauNasema na kusisitiza ni LUNCH TIME NA SIO LANDMARK.. kaka tatizo lako hujasoma degree..ungekuwa ulisoma degree ungekuwa na mazoea ya kuja hostel ungeijua lunch time hotel.
Unabisha tuu..hata dar yenyewe huijui..upo matombo Morogoro huko eti na wewe unajifanya mzawa.
Ukifatilia post zake utagundua kitu take your time look at his post at last utagundua kitu as the same I did, leave him alone elimu ahijakomboa mtu hapa, bali mtu ndio amekombolewa na elimu..Mkuu wahaya ni washamba sana sijawahi kuonana aisee. Kapata kadegree basi anajiona kamaliza dunia.
Ukiwa period unakuwa mkali mkali..unamaliza lin blid?Ukifatilia post zake utagundua kitu take your time look at his post at last utagundua kitu as the same I did, leave him alone elimu ahijakomboa mtu hapa, bali mtu ndio amekombolewa na elimu..
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kulikuwa na haja gani ya kubwabwaja haya yote . .Mtoa mada mbona umekuja na mipasho kibao?Ukumbuke yote maisha na huwezi jua plan za jamaa mpaka kafanya uamuzi wa kufunga hoteli..Inawezekana ameona penye fursa zaidi na ameenda kuwekeza huko na bahati mbaya hata humjui ili upate data kamili..yaani umeona hotel imefungwa tu basi umekurupuka kwenye tecno yako kuleta umbea..Dont judge haya ni maisha tu fala wewe!!
Kwa bukuba kuna sehemu inaitwa Dar? Nashangaa huyu mhaya anasema yeye wa Dar .sasa napata wasiwasi Wazaramo na wandengereko watasemaje ?Nasema na kusisitiza ni LUNCH TIME NA SIO LANDMARK.. kaka tatizo lako hujasoma degree..ungekuwa ulisoma degree ungekuwa na mazoea ya kuja hostel ungeijua lunch time hotel.
Unabisha tuu..hata dar yenyewe huijui..upo matombo Morogoro huko eti na wewe unajifanya mzawa.
Wakati unahangaika kujua nani yamemkuta, nakushauri jiangalie wewe na maisha yako. Utajikuta unatumia muda mwingi kufuatilia maisha ya wenzio ambao hawana time na wewe.Nimepita hapo ubungo maeneo ya hostel ile hotel yetu maarufu ya lunch time..naona sasa imefungwa..na inanyewa na njiwa tu.
Zaidi naona chini kuna kijishule cha udereva....haha na bado...kufikia July tutajua Nani mzawa wa dar na Nani wa kuja!!mtarudi tu kwenye mikoa yenu..msio na nyumba mjini.
Hadi July tutajua Nani karudi mkoa na Nani kinga'anganizi.