Sirro: Marufuku bodaboda baada ya saa 6 usiku

Hii mifisiem shida sana
Pole kwa kuwa Na akili inayodhani yeyote anayekubaliana Na agizo/ushauri wa serikali Ni CCM. Watu Kama wewe ndio mnatuponza wote tunaounga mkono upinzani tuitwe nyumbu
 
Nimeishiwa ma neno nawaza night shift nitaenda kwa usafir gani na nikiumwa ghafla usiku itakuaje tz na maajabu yake
 
Kama nimemuelewa Siro vizuri ni kwamba anatoa ushauri kwa Bodaboda. Hajasema sheria gani inawazuia wao kufanya kazi usiku kucha..amewashauri kutokana na kwamba majambazi hutumia muda huo kufanya uhalifu na hata kwa nyakati nyingine haohao Bodaboda wanaporwa pikipiki zao! Kwa maana kwamba hata Bodaboda akiamua kuendelea kufanya biashara zake sawa tu...ushauri una pande mbili. Wapo watakao tii na wakaidi. Whatever is excellent!
 
kwa hiyo watu watembee kwa mguu! maana hapa Dar saa saba usiku wapo wanaorudi makazini na wale wanaoenda mfano machinjioni kuchukua nyama za supu na kuuza kesho yake, Hamuoni mtakuwa mmewapa wakati mgumu watu kama hawa. We kujibu ndio bila kubalance, hii haitazuia uharifu, sana sana itaongeza rushwa mana sasa polisi watazunguka mitaani kuwabugudhi bodaboda wawape chochote au kuwakamata.
Serikali iwekezekwa polisi kukabiliana na changamoto hii na wala sio kuwazuia bodaboda usiku, wanatusaidia sana sie wa mtaani tusikabwe ovyo. Hapa kipaumbele unachosema hakizingatiwa
Umesema point sn
 
Braza msamehe... ndio ameamka sahiz
 
Kama naona nchi inavyopoteza uelekeo, polisi kama yako ni kuimarisha huo usalama

Watu lazima wafanye kazi,hata migodini watu wanafanya kazi usiku muda ambao sio salama kwa kuendesha zile machine na ndio maana kuna vitengo vya Hazards
 
Ama kwa hakika kamanda Sirro ni mpambanaji. Kwa matukio mfululizo ya hivi karibuni, Amefanikiwa kulibadirisha Nina lake kutoka sirro hadi 'Ziro' bila ya uvunjifu wa amani. Ingawa ni kwa shuruti.
 
Serikali tusiwakimbie waharifu au vibaya au majambazi Bali tuwatafute na kuwatokomeza kabisa.

Mifumo sahihi ya ulinzi ni muhimu sana kwa sasa hasa technolojia ya kisasa na manpower

Tuwekeze ktk ulinzi wa umma.
 
Tunapojadili ya Daudi bashite, tusisahau ya kwetu sisi akina paul christian .

Viongoz wetu kila kukicha wanatoa matamko ambayo utekelezaji wake utakua mgumu na wenye kutoa mwanya kwa police kuanza kusumbua wananchi!! Kamanda amepiga marufuku kwa waendesha bodaboda kutoendesha bodaboda zaid ya saa sita!! Sasa najiuliza hivi haya maamuzi yalifikiwa na kamati ya ulinzi au mkuu wetu alilala na kuamka na ndoto hizi?? Sababu ya msingi kupiga marufuku hiyo ni kuzuia uharifu. Et boda boda wanakabwa na kukaba!! Najiuliza lini uhalifu haukuwepo tanzania?

Bodaboda wanafaida kubwa sana kwa sisi wananchi wa kawaida. Kwa sasa sikumbuki lini nilipanda tex. Hii inatoka na ukata na pia kupanda kwa bei za tex. Kingine ni tex kutokuwepo maeneo mengi ya jiji. Tukumbuke ujio wa pikipiki na bajaji biashara ya tex imedorola!! Je kwa marufuku hii usafiri wa tex utaimarika? Je tulio wengi tunaweza kumudu nauli za tex kwa maisha haya??

Faida nyingine ya boda boda wamekua walinzi wa maeneo wanaoyoshinda. Huwez kukuta karibu na kijiwe cha boda boda pakatokea na ujambaz au uporaji. Na wakimwona mwizi hujitolea kumkimbiza. Na hata wez hupata shida sana njia za kupita maana hao bodaboda wamekua ni kitisho kwao kutokana na kuwepo kona nyingi za mji. Hilo tu ni ulinz tosha.
Niisshie kwa kusema hii amri ya kufukuza bodaboda usiku haitafakiwa maana ina msaada mkubwa kwa raia waliowengi kuanzia abiria mpaka waendeshaji.

Je unaunga mkono bodaboda iwe mwisho saa sita et kisa wanaongeza uharifu??
 
Hii ni kutengeneza mwanya wa kutengeneza hela kwa kupigwa faini na rushwa ilhali mwananchi anaumia.
 
AMESHAURI, AJAPIGA MARUFUKU KWA VIDEO NILIIYOIONA, LABDA KAMA IPO INGINE!!!!

Je unaunga mkono bodaboda iwe mwisho saa sita et kisa wanaongeza uharifu??
 
Wakati Korea (I mean South), Japan, Taiwan, suala la "muda wa ofisi" ni kama linapitwa na wakati sisi badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma. Kwenye miji mikubwa biashara na kazi ziendelee muda wote bila kujali muda. Ni jukumu la serikali kuhakikisha mazingira salama na wezeshi kwa wananchi kufanya kazi zao bila suala la muda kuwa kikwazo.
 
Mfano mzuri. Mtu anachukua pikipiki kutoka Makongo juuu kuja Ubungo terminal(Stand ya mabasi ya mkoa) I kwa ajili ya kuwai usafiri wa basi kwenda mbeya, Kigoma, Mwanza na bukoba
Ambayo mda wa kufika kwa wasafiri ni saa kumi na moja asubuhi
Inabidi waangalie kwa jicho lingine huuu usafiri
 
Back
Top Bottom